Recent content by Lutubija

  1. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    hongera sana kamanda Lema pamoja na kuacha jimbo mda mrefu ukiwa katika maombolezo ya kamanda mawazo lakini ushindi umebeba
  2. L

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    hizo ada ni za chekechea
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa walioanza kupoteza mvuto baada ya kumalizika uchaguzi mkuu

    mwigulu chemba lusende na mhongo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Ccm mnamatatizo tuseme kipindi kile yuko kwenu hamkujua kuwa ni mkenya acheni siasa za visasi hazifai hata kidogo
  5. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    kalibuni makamanda tungane katika mazishi ya nguli wa siasa za harakati kamanda MAWAZO
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mwanza na Geita: Yu wapi mfanyabiashara James Mizanza?

    kumbe sijaona huwa ni mdogo wake mimi nikisikia anaitwa sijaona mizanza najuwa ni mtoto wa mzee mizanza kumbe sivyo yeye sijaona yupo mitaa hiyo uliyo itata yeye na mabinti hakuna mwanamke Geita asiemjua SIJAONA MIZANZA
  7. L

    JamiiForums Tanzania CCM Mpeni Ukweli Magufuli, Ajiandae Kisaikolojia

    ndiyo maana wamemtenga anakomaa mwenyewe
  8. L

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Uongozi wa CHADEMA Kilosa (M/kiti, Katibu), wahamia CCM muda huu

    hao wachumia tumbo walijuwa wakihama mbele ya makufuli watapata sifa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Napata shida ktk kauli hizo mbili kutoka kwa viongozi wa CCM mkutano wa Morogoro

    hao wote wasani hakuna wa hachiliii
  10. L

    JamiiForums Tanzania CUF wavunja UKAWA Geita na kusimamisha wagombea majimbo ya CHADEMA jimbo la Geita na Geita mjini

    Wanadai wamepokea barua kutoka makao makuu ya CUF ikiwaelekeza kufanya hivyo na kumuzuia mgombea ubunge jimbo la Geita mjini ndungu ROGERS LUHEGA kupeperusha bendera yao kwenye gari lake lakini kinachonipa shida kufikiri hawa jamaa mfano jimbo la Geita hawana hata mtaa, je lengo lao nini?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    mimi nina ham na Geita mjini mbona hamtowi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mzugu amtapeli mzawa kwa kufunga mkataba hewa baada ya kuungana katika kapuni ya uchenjuwaji dhahabu

    Mwekezaji mmoja wa kizungu aliewekeza katika kampuni ya kuchenjua dhahabu huko geita katika kata ya lwamgasa amemtapeli mzawa waliyeungana nae katika kazi hiyo kwa kufunga mkataba hewa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro chadema kahama washika kasi....

    acha wehu we gamba hata Geita mlivumisha kuwa Rogers Luhega kahamia ACT kumbe mnalipwa tumesha wasoma
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Geita mjini wanatwangana mda huu

    hao viogozi wa jimbo la Geita wanasitahili kipigo cha mbwa mwitu maana wanaweka tumbo mbele kuliko chama
Back
Top Bottom