Mimi nitamkumbuka kwa mauji ya watu wasio na hatia, miili kukutwa inaelea ufukweni mwa bahari, watu kutengenezewa kesi za money laundering and economic crimes. Yes, tutenge Magufuli Day ili tuwatanabaishe future generation to avoid repeating our mistakes.
Msemaji wa serikali alitakiwa kuwaita wanahabari na kueleza Rais ana shida gani na yuko wapi. Sote tumejaa hofu. Mleta mada naye amejaa hofu ndo maana anapeleka lawama kwa tasnia ya habari badala ya mamlaka inayohusika.
Tatizo letu kama nchi ni kutoelewa mtu mwenye matatizo ya akili yupoje? Siyo kila kichaa uokota makopo. Some of the features of a mad person are as follows:
1. Confused thinking
2.Denial of obvious problems
3. Delusions or hallucinations (seeing or hearing or believing things that are not...
Characteristics of a mad person:
1. Confused thinking
2. Denial of obvious problems
3. Delusions or hallucinations (seeing or hearing or believing things that are not really there)
Jiwe has all these characteristics
Ili kunusuru nchi na watu wake, inabidi jiwe akamatwe, afungwe kamba na apewe dawa zake za ukichaa kwa lazima. Kichaa kimezidi. Nadhani Zambia waliwahi pata bahati mabaya ya kupata kiongozi mwenye matatizo ya akili lakini waliweza handle hiyo hali strategically.
Mzee Mwinyi ulishapata urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwanao amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi.
Leo hii majeshi yanaua watu Zanzibar ili mtawale. Mnataka nini ninyi kizazi cha nyoka?
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.