Recent content by LUTAMBI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta decorder ya AzamTv used

    Asanteni wadau. Nimeshapata decoda ya Azam. Thanx Jf.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta decorder ya AzamTv used

    We unauzaje ... weka namba nikucheck
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta decorder ya AzamTv used

    Asante kwa ushauri... Ila isitafsiriwe kupenda kitonga ila ni mfuko ndo upo jangwani.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta decorder ya AzamTv used

    Yes...natafuta decorder ya AzamTv used kwa bei nafuu. Hii ni kwa Dar na maeneo ya Karibu. Kama unayo nicheck kwenye 0715719171. Kiwe katika hali nzuri na bei nafuu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Majimbo UKAWA Kanda ya Pwani: Hadi sasa, majimbo 9 CUF na CHADEMA wamerejesha fomu

    WALIO REJESHA FOMU KANDA YA PWANI - UBUNGE 1. Ubungo - CDM, CUF 2. Kibamba - CDM 3. Kawe - CDM, CUF 4. Kinondoni - CUF 5. Ilala - CDM, CUF 6. Segerea - CDM, CUF 7. Ukonga - CDM, CUF 8. Temeke - CDM, CUF 9. Mbagala - CUF 10. Kigamboni - CDM, CUF 11. Kibaha (V) - CDM, CUF 12. Kibaha...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Majimbo: CUF ni bora kujiondoa UKAWA kuliko kuhujumiwa CHADEMA

    Mkanganyiko ni mkubwa sana. kuna majimbo wamepewa CDM kisha CUF nao wameweka pia walipotakiwa CUF nao CDM wameweka. Kumbuka nchi nzima CHADEMA wamepata 143 bara na 1 zanzibar. CUF wamepata 53 bara na 50 jumla CUF majimbo 103. REJESHAJI WA FOMU KANDA YA PWANI - UBUNGE 1. Ubungo - CDM...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Busega wapewa CUF na mgombea wa CHADEMA Dr David Nicas amepewa kadi ya CUF agombee kama babu duni.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tafadhali sana baba, tumeyaona uliyoyafanya

    hayupo tayari kukanusha. Hayuko busy kihivyo... Mamaa Mushumbusi anautaka u first lady.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mabere Marando anagombea jimbo gani huko Mara!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kukaribishwa Lowassa UKAWA, nani ni mpinzani wa kweli? Zitto au UKAWA?

    Dawa ya mwizi ni kumkata jina kinyemela badala ya kunyima fomu ya kuuwania uongozi.? Kama umegundua upo kwenye bwawa la maji taka toka humo kwanza ndo utafuta maji masafi. Hongera Lowassa..
  11. L

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hatutaki... Dr Slaa agombee jimbo lolote Dar amwachie huyo jamaa katisha vibaya kura ya maoni
  12. L

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Kule Zanzibar kwa SALUM MWALIMU hakuna kura ya maoni. Bado Morogoro na Kigoma nasubiri
  13. L

    JamiiForums Tanzania IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Matokeo Jimbo la Igunga 1.Samson Kube159 2.Joseph Kashindye 100 3.Ngasa 15
  14. L

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    KIBAHA MJINI 1. Dr Michael Mtally 62 2. Injinia Henry Msukwa 38 3. Isihaka S. Mnembwe 31 4. Injinia Joaquim 13 5. Diwani Bosco M. Kidobele 04. 6. Mwl Frank Mzoo 03.
Back
Top Bottom