Mimi nakubali andiko lako, uko vizuri. Lakini ukiona serikali iko kimya, kuna namna walio madarakani wanavyofaidika. Nashauri wasomaji wafuatilie stories ya GOLD MAFIA vizuri. Utauona ushiriki wa Uebert Angel [emoji116]
Balozi wa juu wa Zimbabwe anayehusika katika mpango wa magendo ya dhahabu...
Mshono wa hivi karibuni, ni kupiga marufuku kutumia viwanja vya Bukoba Club. The only open space in Bukoba Municipal (sic).....ila viingereza navyo, ona mpaka nimejisahau ....
Wewe usitake kuficha racket yako ya kuchakachua mbolea na utapeli wako kwa wakulima wa parachichi kwa kumchafua RC. MMEUMBUKA. Sasa unaona kimekulalia unaanza kumchafua baba wa watu
Yote kwa yote, yule RPC wa sasa wa Mwanza, former mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, alikuwa anafanya kazi nzuri. Huyu wa sasa yawezekana ana compliance kiaina.
Na kwa kusema ukweli, expiry date huwa ina plus na minus. Most likely tarehe ya ku-expire huwa inaiacha item/reagent ikiwa na ubora wa karibia miezi 3 hadi 6. Hii period inaitwa" dispensing date" . Kwa hiyo siyo kwamba siku tarehe inapofika, palepale dawa au reagent inakuwa useless. No...
Asante ndugu. Ila kumbuka vifaranga siyo kama nguo au spea za magari. Ni delicate goods. Unapoagiza lazima uhakikishe njia ni nyeupe, yaani makaratasi yakamilike.
Kuagiza vifaranga ni mchakato pia. Lazima uweke booking shambani, ujue siku ya kutotolewa, ujue na chanjo za mwanzo na siku ya...
Wewe kaa huko huko wanakofufua wafu. Kaa huko huko usije ukaumwa wakashindwa kukutoa mapepo. Kaa huko huko. Ukakamuliwe na wanaoongea na Mungu kwenye ndoto, wanaotoa pepo na kushindwa kuponya vilema. Kaa huko.
Upade huu unaousimanga hauhitaji msaada wako. We nenda huko ukanene lugha zisizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.