Uchaguzi Wa mwaka huu ni mgumu; lakini ni vizuri watanzania wakaamua kwa misingi ya imani zao Juu ya Maisha wakioanisha na Sera za wagombea Wa vyama. Mungu aweke mkono wake ktk uchaguz huu muhimu kwa taifa
Dr Salim Ahmed Salim ni mtu pekee aliyebaki kuwa tegemeo la CCM katika kutoa uongozi wa nchi.,lakini CCM hawana ujanja juu ya mgogoro na mpasuko mkubwa wa kimakundi ndani ya CCM juu ya2015.,ni Dr Salim peke yake hajajiingiza katika siasa za kimakundi.
Ninasikitishwa sana kwa jinsi tunavyomshambulia Dr kitila eti kwasababu tuu anatetea hoja ya Prof Shivji.,Vyama hivi mnavyovitetea leo,siku vikibadiri msimamo.,ni lazima na ninyi mtabadiri msimamo.
Ushahidi upo wazi,CCM walikataa katiba mpya pamoja na mawaziri wao.,Mkuu wa nchi aliposoma...
Kutokana na hali ya usalama kuzidi kutikisika siku hadi siku.,ni vyema tukauangalia upya mfumo wetu wa kiutawala nchini.
Ni wazi Mfumo wa nyumba kumi ni lazima uingizwe kwenye sheria za nchi,kwamba ngazi ya chini kabisa ya kiserikali sasa ianzie na nyumba kumi baadala ya ngazi hiyo kuanzia...
Kuna tatizo kubwa sana la watanzania walio wengi hasa vijana,kuzomea vitu mbali mbali,kutokupenda kusumbua akiri kwa kutafakari na kujipa imani kwamba kila kitu ni propaganda.
Nina wakumbusha kuwa kwa aina ya siasa za vyama vya upinzani za miaka20,AcT,ikija vyema tutaona vyama kama chadema...
Kuwa Mwanachama,ni juu ya mambo mawili makubwa ni juu ya kukubaliana na Itikadi na juu ya Kutimiza wajibu wako wa uanachama. Unaweza kukubaliana na baadhi ya viongozi wako jinsi wanavyoitafasiri itikadi ya chama chako na kuisimamia na unaweza kuwachukia baadhi ya viongozi wako wanavyoivuruga...
Tuna watanzania waliomashabiki kuliko kuwa watu huru wa kifikra,binafs naona dr kitila na zitto walikuwa uti wa mgongo wa chama.
Nipo pamoja nao kifkra.
Kuna ujinga wa kupitiliza kwa wanajf waliowengi,kwao vyama ni muhimu kuliko nchi.
Taarifa iliyoletwa hapa jamvini ni kuwepo kwa madiwani waliopokea posho kwa siku kumi ikiwa ni posho ya kuwa safarini mbeya,mbeya hawakwenda,hivyo posho imeliwa pasipo kazi!!!
Wengine wanahoji kwamba hiyo siyo...
Asante kwa kutujuza,kimsingi ningeomba mwenyez Mungu amrudishe Mwankenja duniani aseme nini ni kilitokea ,siasa za mbeya za ajabu sana,naamini angezungumza kwann ilikuwa hivyo.
Pia naskitika jinsi ndg yangu Asukile alivyohusishwa nalo.
Ukiangalia kauli ya Molemo,Molemo ni mKurugenzi idara ya Bunge na Halmashauri pale Makao makuu,kama kitengo ndani ya chama,walioshutumiwa ni viongozi wake;yeye anasema Chama hakiwezi kutoa tamko kwasababu wanaoshutumiwa ni watu binafsi na si Chama.
Unaweza ukajiuliza juu ya genge hili...
Mimi ninaamini kwamba Viongozi hawa wanaoshutumiwa kwa maana ya Zitto na Kitila wote wameshafikisha taarifa hii kwenye chama,Kumbuka kwamba Zitto amethibitisha kwambaa taarifa hii ameiwasilishwa kwa Katibu mkuu ili itolewe ufafanuzi.
Pia ujue Kwamba chama chetu hakiwezi kuwa chama cha kusubiri...
Pasipo kuficha,kuna genge ndani ya Chama changu ambalo linajihusisha na mkakati wa mashambulizi dhidi ya Zitto na wale viongozi wengine ambao wamekuwa wachambuzi,washauri na wenyemisimamo isiyoyumba ndani ya chama kama dk kitila.,Genge hili la mashambulizi ya aibu linaongozwa kwasasa na...
SEHEMU YA KWANZA.
Sote tunajua jinsi Mwl Nyerere alivyopinga mfumo wa vyama vingi mwaka 1965 kwa kusema tunataka kujenga nchi yenye umoja na Mshikamano wa Taifa na baadaye akatofautiana na wenzie akina Kambona,kutoka mwaka 1965 mpaka 1992 ndipo ulikuwa ukomo wa mfumo wa chama kimoja.,Kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.