Recent content by lupondije

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lissu awalipua mawaziri, wabunge kwa unafiki wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

    Lissu UK sahihi but kunawengine wanasifia c kwaubaya but hakuna MTU mwenye jusifia bure LA IMA Luna kakitu ndani take sasa mm MTU amenisaidia kwanini nisimsifie but apo panahitajika mfumo thabiti wiki kuondoa ikiritimba ndani us Hui mifuko coz itakua inanufaisha wakubwatuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

    Rais Wang nakukubari saaana upo social saaana kurikomwingine but kazi basi kwenye ajira tupate angarau vibarua boss mambo yanakaba uku kitaaa mkuuu was inchi jaribu kuregulate mambo tuwe nanafuu a cha wapinzani waponde but we we Mia yako ninjema Vila watendaji wako nawastaaafu wanakuangusha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    hapo kaka umeongea hoja nzuri nimefuatilia cd kazaa za ilunga shekhe huyu ni mtu hatari sana katka taifa inafaa afunguliwe mashitaka yauhaini wanch laki bado yupo anadunda mitaani kwambwembwe halaf useme udin haupo upo nawaisilam wanapendelewa waz kabisa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uaminifu na changamoto za mahusiano na ndoa

    mimi nadhani wazee wazamani waloikuwa na hekima nabusala nyingi kulko sasa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaweza kujiuliza hili!

    wale walipendwa wakiwahvo unadhan wabadilika saa ngap
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vigogo wapya wa urais 2015

    Dr salim anaweza ila mtu akipata madalaka hubadilika nahofia kuingoza nchi kwa misingi yakiisilam
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mh.Samwel Sitta usipowasamehe wenzako jahazi litazama na wewe ukiwa ni miongoni mwa abiria

    sitta nijembe ambalo litakuwa mfano kili siku ktkanchi hii.
Back
Top Bottom