Recent content by lupekefd

  1. L

    Ni kweli pesa ya BTP imeongezeka?

    Imepanda mpaka buku saba sawa na lumumba, ila mshahara sahau, na ajira sahau
  2. L

    TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Asiishie kwa hao tu, tuliona mgao kwa akina chenge, tbaijuka na wengine, naovwashughulikiwe
  3. L

    Natafuta chuo cha ualimu ngazi ya cheti karibu na Dar

    ACHANA na VYUO vya PRIVATE, Nenda VIKINDU chuo cha serikali, ADA 600,000/= pia kwa maisha haya private gharama kubwa wakati mshahara watalipwa sawa. Serikalini ukilipa 600,000= hakuna tena kulipia hostel wala chakula huko private hawaivi vizuri na ajira ya sasa tunaanza kuomba hatapata kipaumbele
  4. L

    Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

    akili ya mtoto hutengenezwa miezi tisa ya awali tangu kuzaliwa. Umri ule mtoto akipata lishe bora kama minofu ya samaki, maziwa halisi ya mbuzi au ng'ombe Na baada ya hapo mtoto aendelee kupata lishe bora katika kipindi chote cha ukuaji
  5. L

    Kauli za "walitaka kunihonga" mara ooh " wananiomba niwateue" mbona hazikuwepo awamu zilizopita?

    yule ja yule jamaa ni muongo sana, hivi watu wanataka kumuhonga kwanini hakukubali ili awakamatishe kwenye vyombo vya dola? kwa nini anawalea watoa rushwa na yeye anasema mpiga vita ya rushwa?
  6. L

    Orodha ya watumishi waliohakikiwa

    NNaomba mwenye list ya uhakiki wa watumishi mkoa wa DODOMA, IRINGA na RUKWA.
  7. L

    KIBITI: Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mtunda auawa kwa kupigwa risasi

    MUNGU wa IBRAHIMU ututetee. Hali huko si shwari, na manyunyu huzaa mvua ya mawe
Back
Top Bottom