Recent content by lup

  1. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    hili ndio swali sahihi
  2. lup

    JamiiForums Tanzania Mmekutana baa na ex wako..je utamshukuru dj kwa wimbo gani

    usiyempenda kaja bar leo
  3. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnakwama wapi?

    copy and paste
  4. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

    penda mtoto wake tu yeye atafata kama mbuzi anavyofata mtoto
  5. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume serious anahitajika

    una maanisha kweli au ni wale wale??
  6. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akifa ndani kwako utafanyaje?

    pelekea moto
  7. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani lishawahi kukutokea ukasema hautakuja kuamini katika mapenzi?

    copy and paste kazini
  8. lup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu single mother's pale unapooa au kuanzisha uhusiano nae

    Haya bhana
  9. lup

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    rekebisha hapo ni 2021 mkuu sio 2020 au ulikuwa na maana ya mwaka jana??
  10. lup

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    kwani alikuumiza mkuu maana umeongea mazito sana aisee
  11. lup

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    https://www.jamiiforums.com/threads/rais-anapofia-madarakani-utaratibu-ni-upi-kwa-sheria-za-nchi-yetu.1489418/
  12. lup

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Nimeukumbuka huu uzi ghafla aisee.
  13. lup

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    hata mimi ninahuzuni sana ila imenifanya nifikilie sana kwa wimbo huo.... labda una maombolezo ndani yake,
  14. lup

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Muda sio mrefu uliopita, mama SAMIA, ametoka kutangaza kuwa Rais wetu ametuacha kwa maana amefariki dunia.... lakini baada ya kurudia matangazo hayo, mnaweka nyimbo ya tumeuona mkono wake Bwana kwa sehemu yangu nimeshidwa kuelewa maana nillitegemea baada ya matangazo ya msiba wimbo wa kwanza...
  15. lup

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    DUH, RAIS WETU, ILA MUNGU ATUPE WEPESI
Back
Top Bottom