Recent content by Luo

  1. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa mara ya kwanza nashuku matokeo ya utumishi kwa kada ya Lab. Scientist ii, Aquatic sciences and fisheries technologies UDSM. Kwanza pepa ilikuwa rahisi sana, pia kwa pdf zilizopanda, kada yetu hakuna pia Sekretarieti ya Ajira kuna nini kinaendelea?
  2. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye Account tayari.
  3. Luo

    Huna nyumba, huna gari, huna mradi na huna familia. Nini faida ya uwepo wako hapa duniani?

    Sasa kama wote wakiwa navyo, wale watafiti wa kufanya comparison waatapata benchmark wapi?
  4. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huko kwenye Account ni not selected, sijui cut off ilikuwa ngapi...
  5. Luo

    Muvi za upelelezi.

    Sijui ni chaneli namba 1.. DSTV, inaitwa investigation discovery, wewe, kuna watu na viatu.
  6. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Lab scientist ii, Aquatic Sciences-udsm hiyo
  7. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kila laheri wakuu, Mimi ishachezea ndoige moja hapa, hebu nisubiri pdf, siyo kwa urahisi wa pepa ya jana afu ndoige round ya kwanza tu.
  8. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wote wamefanyia dom? au kwa Zones?
  9. Luo

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    Luo jaluo jr Jaluo_Nyeupe Orako Ja-roche apakii_ceo.
  10. Luo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwakweli tokea nimeanza fanya pepa za utumishi, Kwa mtazamo wangu, pepa ya jana ilikuwa rahisi sanà. Ngoja tusubirie hekima za wakandaji hawa hapa Qns: Lab. Scientist II, Aquatic Science and Fisheries-UDSM.
  11. Luo

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Kuna uzi humu una kila taarifa ila ukishasikia hili "Usimwambie mtu mwingine njoo kwangu nikupe taarifa" tena kwenye dunia hii yenye teknolojia ya 5G! Stuka na kimbia haswa. Good morning.
  12. Luo

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Naombeni pia huo U-thread Part 2.
  13. Luo

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Vipi kuhusu wale wenye professionals zao treatment yao gerezani inakuwaje? Na vipi ikiwa raia akimletea mfungwa wake issue zisizoruhusiwa ila akabainika? Atapewa adhabu gani? Mwisho mwenye uzi part 2 naomba anitumie PM.
  14. Luo

    Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Uluguruensis Litopeneus monodon Macrocephalous apendiculata Taenia solium Lantana camara Argulus spp. Tuta absoluta Clostridium botulinum Escherichia colli Plasmodium vivax Fasciola hepaticae
Back
Top Bottom