Wee Game Theory
We naulisa Luo Limtidi kwao wapi, "In ja kanye"?. Majibu yako ni hii, An ja Kagan - ja Kowino - ma Onjinyo market, woudgi Shem Ochuodho (former MP) oke Alego. Masikani ya nyumba yangu ni pale Oyugis downtown. Je hiyo natosa? Kama haelewi tafuta mitu ya kupindulia wewe toka...
Ngugu Pundit,
Sina mbavu umenikumbusha Biblia yangu pale Ufunuo 12:7 "And there was war in heaven. Michael and his angels fought against the dragon, and the dragon and his angels fought back" kwa hivyo inaonyesha kuwa kuna wakati walikuwa pamoja.
Nasubiri ugomvi uanze kama ilvyokuwa...
Haya haya mambo yameanza:
Kura za mwanzo - Dixville Notch NH
Turn out 100% ambayo ni wajumbe 17
Obama 7
MaCain 4
Hilary Clinton 0 pamoja na kulia na kujidai anafanya mazoezi ...
Wengine wote waliobaki wamegawana hizo 6
Baraka ananza kufanya mambo yake!
Koba,
1.Obama atafika mbali na safari ya mbali inaanza kwa hatua moja,mbili .. na kuendelea.
2. Mimi ni mjaluo kwa kabila kama Obama lakini siyo mmarekani wala sitakuwa wala sitaki kuwa mmarekani. Kwa hilo Obama is not mine - I do agree! La ujaluo linaongeza ushabiki tu lakini sote tuko...
Koba
Usipandishe presha bure ndugu yangu. Kila mtu ana kabila lake na kuzungumzia ukabila hata kuweka huo muziki wa kijaluo siyo ukabila. Mbona tunawasilikiza akina Awilo? Na hiyo signature isikupe homa ndugu yangu. Sisi nafurahia tu omera!
Unless una matatizo mengine pole saana maanake...
Nawasalamia yoote Asalamaleikum!
Kwa kusindikisa point senu yoote positive na safi. Tena hii amendika hiyo mimi nanukuu hapo yeye napiga juu ya kichwa ya musumal directly - right on the head. Kwa kususa hiyo point furahia hii nyimbo dedicated kwa Raila na Obama - "Wangni Wabiro - Wangni...
Kijana Game Theory,
Mimi nakubalina na analysis yako 100%, na ninakubatiza na kukuita Real Facts. Huwesi kula kuka halafu unalilia mayai -- tanyolewa tu! Ukiamua kula na mwizi lazima siku itafika atakuibia tu. Amuulise kaka yangu Raila alidhani Kibaki ni binadamu tosha! Na mimi naamini he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.