Recent content by lunziwii

  1. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa mwanamke Afrika ni mateso

    Jamaa hana makosa na hatakiwi kulaumiwa kwa lolote, huenda ndiyo maelewano yao maana kama mke anachoka au anaumia aghalabu angesema na jamaa angekoma.
  2. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Kila msimu una mazao yake, mengine hunyauka kwa msimu fulani
  3. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Kiukweli kwa hali ilivyo sasa, hata ungekuwa mtendaji mzuri kiasi gani kwa utawala huu bado. Ni nani kati ya wateule wa mkuu anayefanya kazi kwa kile anachokiamni?? Ni wachache mno. Wengi wao ni wa kupokea mahitaji kutoka kwenye server na ukikosea kidogo tu unakutana na taarifa ya habari...
  4. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Namfahamu Mahiga ni msomi mzuri. Na ameteuliwa kufanya kazi hawezi kufanya kazi yake binafsi, inabidi afanye kazi kulingana na maagizo ya aliyemteua
  5. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Nyumba aliyokuwa amehifadhiwa Mohammed Dewji baada ya kutekwa yabainika

    Mambo mengine bwana!!!???....
  6. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Babu auawa Moshi baada ya kubaka mtoto na kumuambukiza Ukimwi

    Dunia inaashiria kuzeeka. Hebu wazee zeekeni vizuri
  7. lunziwii

    JamiiForums Tanzania Mamia ya nyati wamekufa maji katika mto wa mpakani kati ya Botswana na Namibia

    Mmmh haya nayo ni majanga kwa upande wa wanyama.
Back
Top Bottom