Recent content by lunyambabi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Online academic resource centre for TZ

    Join free email facility connecting you to hundreds of great teachers, students, school owners, libraries, bookshops. It's free. All you have to do is to send an email to maarifatz+subscribe@googlegroups.com and follow the instructions on the email. What you should expect, and more....: 1. Post...
  2. L

    JamiiForums Tanzania jamani naomba msaada.mtu akisoma CBG anaweza kusoma Medicine(MD)

    niliingia kukusaidia lakini nimegundua swali lako ni la kiumbea kuliko la kutafuta msaada. Anyways - CBG inakutosha kusomea MD -- hakikisha una pass nzuri hatutaki madaktari vilaza.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama mwalimu wa hisabati na fizikia

    Dar vipi, ni pm
  4. L

    JamiiForums Tanzania Acha kulalamika, wekeza kwenye afya...

    Mheshimiwa, ZeMarcopolo; unaongea mambo ya msingi sana. Kwanza nikushukuru kwa kuwa na mtazamo mpana na chanya. Kuna options nyingi nyingi sana zinawezekana kwenye hii sector ya afya. Kwa mfano nina concept ya weekend health camp - (do not google, this is my idea...). Madaktari wanaweza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nimesomea ualimu Natafuta kazi yoyote

    Asante mkuu. Nyie ndio watu tunaowahitaji zaidi humu JF. Pamoja na hayo - hata hao wengine tunawahitaji wabadilike ili tusukume gurudumu. Kwako mwalimu uliyetuma tangazo hili - ushauri wangu ni kuwa unaweza kupata mafanikio makubwa tu. Unachohitaji ni kuweka vizuri maandishi yako ili "target...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Needed: Teachers for Physics, Mathematics, Biology and Chemistry

    We are looking for fully qualified and competent part time and full time Physics, Chemistry, Biology and Mathematics teachers. Expected Classes: - Form III up to Form IV & - Form V and VI Package: Very attractive depending on experience. Duty Station: Dar es Salaam, Tanzania...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Wapendwa, Samahani kama hili lilishaulizwa lakini ni kwa nia ya kujua na kuelimishana kwa wale watakaosoma uzi huu mara ya kwanza. - Naomba kujua pa kuanzia ninapotaka kuwa na biashara ya vinyaji vya jumla, bidhaa inapatikana wapi? Faida yake ni sh ngapi kwa: 1. Crate ya beer 2. Crate ya soda...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Hodi humu ndani. Naomba mnipokee jamani katika ulimwengu huu wa watu wenye fikra pevu. Nitashirikiana nanyi kwa uadilifu na utiifu huku nikiheshimu sheria za JF.
Back
Top Bottom