Recent content by Lundusi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    Yetu tusaidie kwa mfano hapo kisheria angetumia mbinu gani?
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamachinga na Waendesha Bodaboda waitisha press kupinga kutokea kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Kwanza hao anaojiita viongozi hawana mamlaka kuwazuia wanachama wao kutumia haki zao za kidemokrasia
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia funga mipaka haraka, huu ni mwaka wa ukame, hatuwezi kupiga kura na njaa tumboni

    Kwani hao wakulima wanamiliki mahindi ya Serekali? Hapa kwetu Songea serekali yenyewe inapeleka Mahindi Zambia
  4. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Sio vibaya kwa serekali kuunga mkono yanga
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

    Kitendo cha serekali kufanyia kazi mapendekezo ya kanisa Hakimaanishi kwamba serekali ni royal kwa kanisa. Kama mkataba hauna shida na no kwa manufaa ya Wananchi, kuna Haja gani ya kulazimisha ikiwa wananchi wenyewe hawautaki?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Kweni wenyewe UVCCM wanasemaje?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

    Ngoja tuanze na wewe kaka mkumba RIP to you😀😀😀😀😀😀
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ikulu haina shetani, Mwingira amevuka mipaka. Hatuwezi kuacha Ikulu itukanwe, hatua zichukuliwe

    Yafaa hoja ya Mtume ijibiwe kwa hoja na sio kutishia kuchukua hatua. Hilo wazo la kuchukua hatua hakika ndio ambacho Mtume amekiita'shetani wa Ikulu'. Hii no kusema shetani wa Ikulu inamaanisha Ile dhana ya a matumizi mabaya ya madaraka kwa mwavuli wa Ikulu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnashindwa hadi na UVCCM Ruvuma? Hii ni aibu

    Hilo jengo halijajengwa na UVCCM ingawa inasemekana linamilikiwa na UVCCM Kuna uwezekano mkubwa likawa limepatpatika kwa njia zile zile😄😄😄😄 Ila vyanzo vinasema lile jengo limejekwa na kituo Cha mafuta kiitwacho Njombe Filling Station, ingawa Mimi mwenzenu napita tu ....
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jicho la mwewe: ATCL saga

    Hilo andiko lako halikaribiani na ukweli Wala uhalisia wa hoja iliyoko mezani. Tumeshuhudia ATCl ikitangaza kupata faida na kutoa gawio kwa government. Sasa swali la msingi ni kwa Nini walidanganya kuwa wamepata faida wakati wanajua hiyo sio sahihi? Je hilo gawio walillsema wanatoa ilikuwa ni...
Back
Top Bottom