CHADEMA mnashindwa hadi na UVCCM Ruvuma? Hii ni aibu

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Wakuu haiingi akili hadi sasa Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kutokuwa na majengo yake ya ofisi kama chama ni aibu.

Ofisi ya pale ufipa ni aibu tupu kuwa yale ndiyo makao makuu ya chama. Hapana tubadilike jamani.

Nimeshangaa kuona ujenzi wa Jengo la UVCCM RUVUMA nikajiuliza hawa CHADEMA wana tatizo gani kama ruzuku wanapata ni ya kutosha....

e824c32e-7f37-45c4-866e-0ad799c335ec.jpg

5e599cc3-e05b-4865-8f60-6ce8bd74053c.jpg

6277c181-a694-478f-b785-53fe1ea19cae.jpg

Picha ya majengo ya UVCCM Ruvuma namkukuu Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma Raymond Mhenga maarufu kama Ray Bombambili

“Makabidhiano ya Jengo hilo ambalo lipo Kata ya Bombambili Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma yatafanyika Tarehe 3/07/2021. Ambapo litazinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Comredi Kheri Denis James na pia itakuwa ni siku ya uzinduzi wa Nyumba ya Katibu wa Uvccm Mkoa huo ambayo imejengwa kwenye Kata ya Lizaboni.”

Hadi nyumba za Makatibu UVCCM wanajenga lakini CHADEMA ya Kaka Mbowe inapigana kidigitali hata kama tunaenda Dijitali lazima tuwe miundombinu wezeshi ya kidijitali hii ni aibuuuuu.
 
Ruzuku wanayopokea Chadema ina kazi nyingi, kulipa mishahara watumishi na matumizi mengine, japo nayo hutolewa na serikali ya CCM kwa majungu kama wanatoa hizo pesa kutoka mifukoni mwao, CCM mnaweza hata kuwapora wafanyabiashara.

Muhimu Chadema kwanza wajenge jengo zuri la Makao Makuu ya chama chao wahame pale Ufipa, kale kajumba kamepitwa na wakati.
 
Wakuu haiingi akili hadi sasa Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kutokuwa na majengo yake ya ofisi kama chama ni aibu.

Ofisi ya pale ufipa ni aibu tupu kuwa yale ndiyo makao makuu ya chama. Hapana tubadilike jamani.

Nimeshangaa kuona ujenzi wa Jengo la UVCCM RUVUMA nikajiuliza hawa CHADEMA wana tatizo gani kama ruzuku wanapata ni ya kutosha....

View attachment 1807781
View attachment 1807782
View attachment 1807783

Picha ya majengo ya UVCCM Ruvuma namkukuu Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma Raymond Mhenga maarufu kama Ray Bombambili

“Makabidhiano ya Jengo hilo ambalo lipo Kata ya Bombambili Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma yatafanyika Tarehe 3/07/2021. Ambapo litazinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Comredi Kheri Denis James na pia itakuwa ni siku ya uzinduzi wa Nyumba ya Katibu wa Uvccm Mkoa huo ambayo imejengwa kwenye Kata ya Lizaboni.”

Hadi nyumba za Makatibu UVCCM wanajenga lakini CHADEMA ya Kaka Mbowe inapigana kidigitali hata kama tunaenda Dijitali lazima tuwe miundombinu wezeshi ya kidijitali hii ni aibuuuuu.
Mbona jengo la Kisuma Pai hilo

Mkuu jengo la Kisuma Pai ndio ofisi ya uvccm

Mkuu hapo Songea ndio nimefika jana na hilo jengo ni moja ya majengo mazuri hapo Songea

Ni jengo la Kisuma Pai tajiri mwenye daladala za Songea Mbinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofisi ziko mioyoni mwa watu katika itikadi zao.
CCM TOENI RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CHAMA,SISI WANACHAMA MMETUFUMBA.TUNA HAKI YAKUJUA
 
Chadema hela zao nyingi alichukua amsterdam
Hela za CDM huwa hazijulikani zinaenda wapi, and ukijifanya kimbelembele kuuliza unatumiwa mamluki akina Bonifasi, Lema na wengineo, unashughulikiwa ipasavyo.
 
Wakuu haiingi akili hadi sasa Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kutokuwa na majengo yake ya ofisi kama chama ni aibu.

Ofisi ya pale ufipa ni aibu tupu kuwa yale ndiyo makao makuu ya chama. Hapana tubadilike jamani.

Nimeshangaa kuona ujenzi wa Jengo la UVCCM RUVUMA nikajiuliza hawa CHADEMA wana tatizo gani kama ruzuku wanapata ni ya kutosha....

View attachment 1807781
View attachment 1807782
View attachment 1807783

Picha ya majengo ya UVCCM Ruvuma namkukuu Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma Raymond Mhenga maarufu kama Ray Bombambili

“Makabidhiano ya Jengo hilo ambalo lipo Kata ya Bombambili Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma yatafanyika Tarehe 3/07/2021. Ambapo litazinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Comredi Kheri Denis James na pia itakuwa ni siku ya uzinduzi wa Nyumba ya Katibu wa Uvccm Mkoa huo ambayo imejengwa kwenye Kata ya Lizaboni.”

Hadi nyumba za Makatibu UVCCM wanajenga lakini CHADEMA ya Kaka Mbowe inapigana kidigitali hata kama tunaenda Dijitali lazima tuwe miundombinu wezeshi ya kidijitali hii ni aibuuuuu.
Acha kulisha watu matango pori, hili ni jengo la Petrol Station inaitwa Njombe Filling Station (NFS).
 
Lingekuwa jengo la uvccm lingepakwa rangi ya kijani na njano, sasa hiyo ya bluu labda ni jengo la nccr mageuzi 🤣🤣🤣!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wakuu haiingi akili hadi sasa Chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kutokuwa na majengo yake ya ofisi kama chama ni aibu.

Ofisi ya pale ufipa ni aibu tupu kuwa yale ndiyo makao makuu ya chama. Hapana tubadilike jamani.

Nimeshangaa kuona ujenzi wa Jengo la UVCCM RUVUMA nikajiuliza hawa CHADEMA wana tatizo gani kama ruzuku wanapata ni ya kutosha....

View attachment 1807781
View attachment 1807782
View attachment 1807783

Picha ya majengo ya UVCCM Ruvuma namkukuu Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma Raymond Mhenga maarufu kama Ray Bombambili

“Makabidhiano ya Jengo hilo ambalo lipo Kata ya Bombambili Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma yatafanyika Tarehe 3/07/2021. Ambapo litazinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Comredi Kheri Denis James na pia itakuwa ni siku ya uzinduzi wa Nyumba ya Katibu wa Uvccm Mkoa huo ambayo imejengwa kwenye Kata ya Lizaboni.”

Hadi nyumba za Makatibu UVCCM wanajenga lakini CHADEMA ya Kaka Mbowe inapigana kidigitali hata kama tunaenda Dijitali lazima tuwe miundombinu wezeshi ya kidijitali hii ni aibuuuuu.

amesema anawatapeli saaahv kidigitali
 
Hilo jengo halijajengwa na UVCCM ingawa inasemekana linamilikiwa na UVCCM Kuna uwezekano mkubwa likawa limepatpatika kwa njia zile zile😄😄😄😄 Ila vyanzo vinasema lile jengo limejekwa na kituo Cha mafuta kiitwacho Njombe Filling Station, ingawa Mimi mwenzenu napita tu ....
 
Wamejenga au wanalazimisha wafanyabiashara wawajengee? wanapora mali za umma, tuambie vyanzo vyao vya mapato tafadhali?
Kwenye Hilo ndugu yangu babati usitetee . Mbowe Kama mwenyekiti kashindwa kutumia people power kujenga ofisi za chama. Ofisi ya makao makuu utadhani Banda langu la mbwa! Anayekwambia anakupenda.
 
Back
Top Bottom