Recent content by Lundavi

  1. Lundavi

    Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Ubarikiwe Kwa kutusanua, ila kiukweli mimi nutaendelea tu kuwakata maana hali yangu ni mbaya. Haiwezekani mzazi unamtumia mwanafunzi hela ya matumizi elfu 50, laki wakati matumizi yake Kwa mwezi yanapaswa kuwa chini ya elfu 30. Mnawalea vibaya watoto wenu. Mwanafunzi anapaswa wakati mwingine...
  2. Lundavi

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Maisha hayataki userious kiasi hicho. Hizo mnazoziona pumba wenzenu ndio wanaishi kupitia hizo. Mfano watu wanadiscuss mpira kwasababu kuna maokotoooooooo
  3. Lundavi

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naomba site unayodownload au kama ni app inaitwaje?
  4. Lundavi

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naomba site unayodownload maana kila site ninayojaribu nachemka
  5. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahiyo humu ndani wote hamtumii ,1XBET? Naombeni namba za mawakala. Sisi ni kama familia tusinyimaneugali.
  6. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa wadau wa 1XBet naomba list ya mawakala active. Najua mmekuwa mkiwataja humu but kuwarudia kutokana na ubora wa huduma sio mbaya.
  7. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anza kubofya menu---- bofya kitufe Cha setting ----bofya kitufe Cha withdrawal, zitakuja option kibao. Nenda bofya 1XBET Cash
  8. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi Kwenye hii kampuni ya Hela bet pesa unatoaje maana naona kwenye mobile payment wanaleta tigo tu wakati Mimi namba ya account ni voda.
  9. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nashukuru Kwa Shule. Nimeshafahamu
  10. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani hebu mnitoe ushamba kidogo, hivi hizi code mnazotupia humu, mfano hizi za sportbet unaziweka wapi ili uone machaguo aliyoyafanya mtupia codes
  11. Lundavi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ubarikiwe. Angalau nimepata ya supu. Ukipata na leo
  12. Lundavi

    Vijitabia vipi "unique" ambavyo ukivifanya vinakupa amani moyoni na "relaxation" ?

    Binafsi nikitembelea maeneo yasiyo na watu nikiwa peke yangu nikizungumza mwenyewe, nazungumza Kwa kujiuliza na kujijibu maswali mwenyewe. Nikirudi home nakuwa cool safi kabisa
  13. Lundavi

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Mimi mwenyewe niliwazaga kama wewe lakini baada ya muda nilijua kuwa niliwaza ujinga mkubwa sana
Back
Top Bottom