Recent content by Lumwagos

  1. L

    Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Mtawalaumu watz bure... wangefanyaje wakati tume ndo inaamua inavyotaka
  2. L

    GE2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

    Sijui kwa sehemu nyingine. Ila kwa TUNDUMA walikomba sio kuiba kule. Hata mbele ya Mungu akiniuliza kuhusu TUNDUMA ntajibu.
  3. L

    FACT CHECK: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CHADEMA katika Jimbo la Nachingwea, Dkt Mahadhi Mmoto hajauawa, yupo Mahabusu Gereza la Lindi

    37 elfu kwa 26 elfu! Duhh! hapo kuna jambo letu limefanyika, hapo mshindi ameshafahamika, Dk omba uzima tu 2025 Mungu atakupa haki yako.
  4. L

    Barua ya Wazi kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi

    wajiulize leo familia ya gadafi ipo wapi
  5. L

    CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

    Umeongea vitu vya maana sana mzee wangu. Wenye kuelewa wameelewa
  6. L

    GE2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

    Mbowe nawe unavichekesho kweli! leo ndo unastuka kuwa kuna wapiga kura hewa? ukustuka siku waliposema watu waliojiandkisha mil 28. hapo ndo tatizo lilipoanzia.
  7. L

    GE2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    umesahau wasanii. Hata mzee rungwe akipewa ally kiba na nasseb atajaza Mkapa stadium.
  8. L

    GE2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Huo ni uzembe wa mgombea ubunge na madiwani wake wanashidwa hata kukodi gari la mtangazo hata siku mbili kabla ya mkutano.
  9. L

    Dkt. Mahera acha masihara na uchaguzi huu. Hujajibu hoja tata za Mnyika

    Mshukuruni Mungu kwa kila jambo. Mungu ana makusudi yake kutuwekea manoti pale. Anatuvumbua macho kua nchi yenu inahitaji mabadiliko ya kimfumo.
  10. L

    Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Mayala kwangu namchukulia kama mchambuzi mahiri sana, lkn kuna wakati anazidisha mahaba hapo ndo anachemka. cdm na ccm sio rahisi kufa kwa sababu ya mtu mmoja kahama, hivi vyama viwili tayari vina mizizi iliyochimbia chini. Havielei kama vyama vingine. mifano ipo mingi
  11. L

    GE2020 Uchaguzi huu Waandishi hatujatimiza wajibu ipasavyo

    Kwenye hili nawatetea waandishi wa habari.. niambieni nchi hii kwa sasa nani anainua mdomo wake au kalamu yake kuandika tofauti na watawala wanataka? si maprof wala wanaojiita wananzuoni sijui... amebaki mtu mmoja tu antipas basi. wengine wote ...kimyaa
  12. L

    GE2020 Tundu Lissu aendelea na kampeni katika viwanja vya Bank, Mombo Korogwe vijijini na viwanja vya Mwanjani Tanga

    Duh yehodaya umepoteza mwelekeo! maji nayo ni maendeleo ya vitu?
  13. L

    GE2020 Tume iwaapishe mawakala wa vyama vyote bila upendeleo

    Mahera utaangamiza nchi kwa vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wenu.
  14. L

    GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    VICHINA TOKA LINI VIKATUNDISHA DEMOKRASIA?
Back
Top Bottom