Recent content by LUMULI MALILA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vijana Wasomi Wapewa Changamoto ya Kujiajiri Badala ya Kusubiria Kuajiriwa!

    Mungu akusaidie hiyo biashara iendelee kukua bila kipata changamoto mpaka pale utakapo maliza chuo ila ikienda tofauti…………..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vijana Wasomi Wapewa Changamoto ya Kujiajiri Badala ya Kusubiria Kuajiriwa!

    swala la kujiajiri lataka moyo na ni njia ndefu hasa kwa wale wanaotoka vyuoni mara ya kwanza, naungana na ww kwamba wengi wanaozungumza kuhusu vijana wajiajiri ni walewale ambao wako kwenye ajira na hata ukimfuatilia hana hata biashara ya kuiza bikini so wanabaki kuwalewesja watt wa maskini...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Kimsingi Afrika hususani Tanzania hatujapevuka kisiasa, na ndo maana watu wengi hususani vyama vikubwa vinazani siasa ni mashinadano kama ilivyo mechi ya simba na yanga au Arsenal na Man City.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu: Vyandarua vya hati punguzo vyasitishwa

    Hii ndo Tanzania we have gud plan ila kwenye usimizi na utekelezaji ni majanga matupu, nadhani kugonjwa haka kameanza toka enzi za mda sana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu: Vyandarua vya hati punguzo vyasitishwa

    Ukiangalia mbele zaidi usidhani kama jumuiya ya kimataifa ndio itakuwa suluhu ya matatizo yenu ya ndani ni sisi wenyewe kufanya maamuzi sahihi na wakati sahihi. :angry:
  6. L

    JamiiForums Tanzania Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

    Ndo ukomo wa fikra zake jamani, katumwa tu huyo sio kosa lake.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

    "The fear of public speaking is greater than the death for most people" Watanzania tunakurupuka kwa kutishwa na mambo madogo na wanaowatisha ni wale mliowaamini kama viongozi ili waendelee kuwatala kifikra.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Poaching: New report puts Tanzania on ‘list of shame’

    Hapo ndo kujiuliza, kama si unafki na uzandiki wa mabepari.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA Jiji la Mbeya, Lucas Mwampiki ajiuzulu

    Nimegundua kumbe tatizo sio chama wala uchama, tatizo ni watanzania wengi kama ww hawjui lugha yao, mnashindwa kutenganisha lipi tusi na kauli zakawaida sa hapo kuna tusi gani alilotukanwa?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watu binafsi kumiliki treni

    Yaani mijitu mingine haimuogopi mungu wala haina sura za haibu kila siku kudanganya kwa mtindouleule irimradi wajikwapulie vya kwao, dah 2meisha washtukia try to find new technique.<br>
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Hapo sawa kabisa, kwa kulopoka kwao na kutofikiri kimsingi na kiupana wanaisi lisu kawatusi, alafu kingine nashangaa wa2 wote mnaoisi lisu katukana mbona hamna Facts za kutosha na Ushawishi wenye visibitisho ili watanganyika tuwaelewe? Nchi yetu Kama mlizoea dezo jua mwisho wenu unakaribia kama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Kimsingi mtu mwenye akiri na muona mbali hujibu kwa hoja na si maneno ya shombo kama wengine mjibuvyo. uko sawa ben.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Sidhani kama kuna ukweli wowote wa kusema nyerere hakua mtu wa kawaida, ambacho alijahariwa ni kuweza kudadisi mambo na kuyafikiri kwa kina ingawa hata yale aliyokua anayakosea ubabe ndo ulikua unamuokoa, kinachokosewa na nyinyi m ni hiki hawasomi, hawajui, hawadadisi mambo na wanataka kuwa kama...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Ninashaka na hizi degree, Doctorate, Masters na Elimu zingine za hao waliopo katoka kamati, sidahani kwa mtu mwenye utashi na anafikiria kabisa akawa anaongea vitu ambavyo havina logic hata kidogo hata mtt hawezi kujua. Dhambi na damu zinazomwagika za watanzania kwa ajir ya kutetea ujinga lazima...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    kiukweli mtizamo wako unaukweli ndani yake kama mambo mengine hayajaingilia kati, ila la msingi watu tumetofautiana kimawnzo na hata kiutendaji, ukianza biashara na hauishemu pesa ni sawa na kazi bure, bora hata ujiwekee asset ndani wanao waje kugombania baadae baada ya kufa kwa stres kila mtaa...
Back
Top Bottom