Recent content by Lumia920

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Samahani kbosho we ni ke au me???
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    shukrani kwa ushauri wako mzurimie ila basi yote katika maisha hupangwa na Mwenyezi Mungu...maana naona kwako wewe kila kitu ni kwa ujanja na uwezo wako...sidhani sana ila basi na kwa hili nazidi kujifunza jinsi wanadamu tulivyo hususan katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wadada makwapa hayo

    Ishu ya usafi wandugu nia ya pande zote mbili...maana mwanadamu ni tofauti na viumbe wengine wanaotegemea maumbile asilia ya ulimwengu huu...ila sisi tusipojitunza na kujiweka vema inakuwa kero sana kwa wengine wanaotuzunguka...pamoja na kuwa na shida ya maji inafaa sana kuzingatia usafi binafsi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Duuuu majanga kweli mtu mzima!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Ok inaelimisha hii!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani kashesho kwa neno
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani Potifar...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani ndugu kwa mawazo na ushauri!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani kwa wazo Bak...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani Mpenzi Jini...ndio maisha!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Amina ndugu Mtoboasiri...neno zito hilo! Shukrani!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Shukrani Mwasi kwa neno la kunipa mwanga!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Amina! Asante kwa ushauri wako mzito!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Mmhh...kazi kweli hata neno la faraja...hakuna neno maana nami najaribu kulibeba hili kiume maana hata kati ya marafiki wapo wanaosema niachane nalo na nisonge kimtindo...najaribu kuchuja!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu!

    Umeona hatari hiyo...nami nimemweleza juu ya hatari hiyo katika mahusiano! Any kizazi hiki kazi kweli kweli!
Back
Top Bottom