Recent content by lulumba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Najuta kumkopesha huyu mwanamke, kweli anataka kunitapeli hela yangu

    .....hah! hah! hah! Umeishaliwa, siku hizo ndio fasheni. Kudanga mubashara imekuwa ngumu, wanaume tumekomaa tunachomoa fyuzi! Usijali hauko peke Yako. Nimekopesha watatu, kiasi tofauti tofauti, na wanahadhi tofauti tofauti Lkn hamna hata mmoja anayeonyesha dalili za kurejesha. Shida Haina...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Enzi hizo Niko mkoa Fulani, wilaya Fulani mwisho wa reli. Mimi nilikuwa wilayani km in charge wa huko na jamaa zangu wa kampuni moja na mimi walikuwa mkoani. Basi Kila week end ilikuwa lazima niingie mjini, yaani mkoani niungane na jamaa zangu ni-refresh mind. Week end Moja nikawa na mwenyeji...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kama Frank Mugisha wa Uganda

    Wabongo ni wanafiki na malimbukeni, hawatumii akili na utashi wao. Lisu lazima aileze duniani kweli na uhalisia wa kinachoendelea Tanzania. Pia hiyo ni sehemu ya kimkakati ya ulinzi: kama serikali imeshindwa kumhakikishia usalama directly basi ifanye hivyo indirectly kwa kulinda heshima yake...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Raha ya kuwa na mke/mpenzi uliyemzidi elimu na Fedha

    Naunga mkono hoja, japo wasomi ni wazuri katika upande wa Uhuru wa kiuchumi hasa pale unapokuwa umetetereka ama unamiradi mkubwa ya kiuchumi anaweza aka-Kaimu vizuri. Upande wa maisha ya kijamii wengi wao wana-superiority complex, usipokuwa makini hata unaweza ukafa siku sio zako. Yaani ndoa ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

    Fanyaa Fanya kwanza wema nyumbani kwako kabla ya kwenda kwa jirani!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hapa namshauri Zitto aende tu mahakamani maana huenda hii ikawa sio coincidence

    Paskali you don't deserve this. Close your eyes and think again. Plenty of good people in side there who can do far more better than the ones you trust most.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 watu wengi wasiojua kuhusu CHADEMA na uungwaji mkono

    Ilikuwa ni UCHAGUZI mkuu 2010 Mimi nikiwa mwanachama wa CCM kindakindaki. Nilihudhuria karibu kila mkutano katika kata yangu, na vikao kadhaa vya ndani ya CCM vya kimkakati ngazi ya kata. Lakini wakati huo huo vilevile sikuacha kuchungulia upande wa upinzani, hasa mikutano ya John Mnyika kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nitasema Kweli daima fitina kwangu Mwiko: Zitto anasukumwa na mambo haya matatu katika harakati zake

    GuDume uko sahihi kabisa, hizo ndio tabia za Jamaa hasa awamu ya nne ndio tuliona rangi zake halisi. Japo pia ndio siasa za Tanzania: siasa maslahi ama uchumia tumbo na uzalendo uchwara ukirejea ya kina Lipumba, Dr. Slaa, Mbowe, Mtatiro, Ndugai na wengine. Anachokifanya sasa hivi na mengineyo ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maeneo ya Zinga Bagamoyo

    niko bagamoyo, zinga ni pm nikuhabarishe vzr!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wahi vitabu adimu visivyopatikana kwa urahisi kwa bei sawa na bure

    Tunavipataje?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Kitila Mkumbo

    Ulivyoanza kuandika ama kuchambua kuhusu habari za urais 2015 katika gazeti la kila Jumatano la Raia Mwema hasa sifa za rais ajaye, basi niliona ni yale yale ya kina fulani na wengineo za kututajia sifa za raisi ajaye lakini yanapotokea mambo makubwa na muhimu kwa Taifa hatusikii na wala...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    ....kwetu wanasema mkubwa hajambi, akijamba anasingiziwa mtoto ndio kajamba. Na mtoto ili kuonyesha heshima na adabu unatulia kimya husemi chochote: ndio hayoo! Kijiko unaita beleshi dogo, sio kijiko.: Hio ni Tanzania. Mtu akifanya upumbavu wa kuchezea rasilimali zetu bado tunatafuta namna ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania January Makamba naye asema tunahitaji Rais ajaye awe Dikteta

    Anajionyesha jinsi alivyomchanga kiongozi. Hatuhitaji rais dikteta kama Idd Amin, Hitler, Bokassa na wengine. Kama rais dikteta tunahitaji rais mwenye udikteta mtakatifu kama alivyokuwa Nyerere: Ukimpinga ama kumshauri tofauti na mtazamo wake basi ujiuzulu na mengineyo km hayo.Tuliwahi kuwa na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CCM imekubuhu katika kuiba kura, hata za katiba zitaibwa tu

    ....sio tu kuiba, hii ni kupora mchana kweupeee bila aibu wala haya!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kukutana na warembo wa JF raha sana!

    ...sitaki paja, nataka kipatitio mie!
Back
Top Bottom