Recent content by Lululululu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tabu Ley afariki

    sisi ni mavumbi tutarudi mavumbini.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tabu Ley afariki

    Mungu amlaze pema peponi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyepigwa risasi na polisi arusha ahamishiwa icu

    umeniudhi sana wee Mzeee
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyepigwa risasi na polisi arusha ahamishiwa icu

    we mbulula sana kwa hiyo ndo umeamua kugeneralize wanawake wote? huna busara hata tone na inaonyesha usivyomthamini mama yako. mwanaume anayedharau mwanamke hata mama yake sidhani kama anamthamini
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    pole sana domy. ila jitahidi sana kumfuatilia mtoto kwa karibu. ukiona badiliko kidogo waone wataalam. watoto wanabadilika kama vinyonga take care sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Barabara ya Kilimahewa Mwanza

    pole sana familia ya marehemu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    hivi nyie mambulula mmevurugwaa nini. kwa hiyo kama angefia nje ya nchi ndo angeonekana kawini maisha? kuwa nje ya nji haimaanishi ndo kuwa na maisha mazuri sana kuliko walioko nchini. acheni mawazo finyu. wangapi wako nje ya nchi na wanajuuta kuikimbia tz? acheni umbulula.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa! Soma jinsi huyu alivyopona kwenye ajali

    teh teh,inaonyesha mtume ni mbishi sana. malaika kamwambia sfunge mkandamara mbili hatski hadi Mungu alipoongea kwa ukali. nouma.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

    kwani we uliyeibiwa dar umefkka lini? story z ote we zilikuwa zinakupita kando? bongo daresalama baba
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tusichokijua kuhusu janga lililomsibu Ufoo Saro

    tiiiiii. mengi yatasemwa.tusubiri
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali ; Rav 4 vs Pajero io vs Suzuki Escudo v6 vs Suzuki Escudo Vitara .

    Mi mwenyewe namiliki RAV4 kwa kweli siyo pasua kichwa.very user friend. comfortable
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marehemu Grace Mbowe anaagwa muda huu

    du wandugu mmemchana mbaya. baasi msameheni bure.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka nane aogelea na kichanga cha miezi mitano hadi ufukweni kujiokoa....

    duuu aisee mungu wa ajabu sana. dogo anaujasiri hasa
Back
Top Bottom