Recent content by lukundro

  1. lukundro

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Yupo arusha siku hizi
  2. lukundro

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Hii nilikuepo na mimi, pale viwanja vya usagara, alikua na sound system haina mfano
  3. lukundro

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM, Kitenge haendani na Zembwela

    Nafikiri zembwela na kitenge ni watu wa aina moja, kitenge anahitaji mtu wa kumchombeza na kumfunga mota, hawa wawili sync vizuri.Gerald hando alikua anamfunga mota kitenge, musa anamchombeza, chemistry haipo sawa kwa sasa
  4. lukundro

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda Sana kila kitu kuhurumiwa tu. Hakuna taarifa za Lissu Bungeni

    Nakubaliana na wewe 100%
  5. lukundro

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Thanks mkuu, naupataje huu wimbo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lukundro

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo nafikiri alishirikishwa inspector haroun verse ya mwisho inspector anaongea kama muhubir anasema"wanaokula kuku moshi wote nawajua" na kuna mistari inasema "hizi ni siku za huku za mwisho ole wao waofanya mabaya" kama sijakosea naomba mwenye nao anisaidie Sent using Jamii Forums...
  7. lukundro

    JamiiForums Tanzania Magufuli mfumuko wa bei ukishuka sana ni dalili mbaya

    Kwanin kodi ishushwe mpaka elfu 10, ikiwa mpangaji uwezo wa kulipa elfu 50 upo pale pale?
  8. lukundro

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Naikumbuka hii ilikua viwanja vya usagara secondary pale.
  9. lukundro

    JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba huwezi vita mara zote huambulia patupu

    Na hapa ndipo hata umaskini wa maendeleo huanzia....wa tz wengi sana reasoning tupo chini sana
Back
Top Bottom