Recent content by lukule

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

    Wapendwa wana JF, naomba mwenye copy ya hotuba ya rais wakati wa kufungua bunge aiweke hapa... haya yote yalitabiriwa if you read that speech between the lines. Aliwaonya viongozi wenzake, akasema wasimuone ancheka ana msimamo na pia aliwaambia tusije laumiana mbele ya safari. Tatizo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Wapenzi wa JF stay tuned kesho kuna makubwa yanakuja... kama hawa ni kambare basi kuna mapapa ....nendeni kisutu kesho .. kwa heri
  3. L

    JamiiForums Tanzania Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Unajua hata sadaam husein alipokamatwa kuna watu walikuwa wanasema sio yeye ... kwa hiyo habari ndio hiyo .. ... na bado ...Kumbuka Pinda kashasema kwenye Press conference jana.. if you read between the lines you will understand that there is a lot more to come stay tuned
  4. L

    JamiiForums Tanzania Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Si suala la mamluki hapa.. na kwa taarifa yako mimi sio mamluki... na ukweli ni kwamba Rais amefanya jambo ambalo wengi hatukutarajia kama ana ujasiri huo. Sasa mtu akifanya jambo zuri ni vizuri kumpongeza. Na pia sio lazima kulalamika tuuu bila kuona kazi inayofanyika... sasa watu unawaona hao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Wadau sasa ni wakati wa watu wote kuungana na rais sio kudoubt step anazochukua.. ameonyesha yuko serious .. watu kwenda mahakamani sio jambo la mchezo. naomba tumuunge mkono mheshimiwa rais Kikwete..
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    pia katika hotuba ile Jk alikuwa anawatisha wabnge wakereketwa unakumbuka aliposema mara nyingine nikiangalia naona mnazidisha kunyanyasa mawaziri(Ana Kilango!!), pia alikua kama anwaahidi ulaji hivi.. ofisi za milioni 40 na akwaambia mambo yao sio mabaya sana. Pia aliikana rasmi ilani ya chama...
Back
Top Bottom