Recent content by Lukolela

 1. L

  Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

  Mimi bwana ...naitumia kwa m pesa tu.ILA wameniudhi,nilienda kuomba taarifa fupi ya account yangu ya m pesa ya miezi 5,ajabu!niliambiwa nitoe elfu 6 kwa kila mwezi ninaotaka kuangalia taarifa zake...yaaani!Tatizo wao wanadominate huku kwetu vijijini kwao na mapadlock.
 2. L

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  Huwataki!...we shangaa tu ya kwa kova,mbona sikuelewi yupo!na wengi tu tutawasikia...oooh ni ile ile.....tutaisoma hata wao wanajisoma....
 3. L

  Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

  Alitaka kusafiri kikazi?Kwa maslahi ya taifa sawa..lakini kama kazi binafsi...wenda kuna 1,2,3...
 4. L

  Wanaolilia Katiba mpya ni Wavivu na Wazembe!

  Watachangia,lakini jifunze maana ya maana.
 5. L

  Tujiulize swali hili gumu: Inawezekanaje kodi kukwepwa namna hii wakati serikali ilikuwepo?

  Tujikumbushe ya jana"rais aogope uhasama"kumbe anapofuatilia wenda akafukua panya wanaotoa harufu wa kipindi kilichopita!!......
 6. L

  Huu ndio ufisadi wanaoufanya walimu serikalini. Nao ni majipu, watumbuliwe

  Unategemea watu watu waliodunishwa watoe/wazalishe kitu bora?!Fikiri tena kuhusu "ELIMU DUNI"
 7. L

  Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

  Yaani ,si unaona chunusi ziliibuka na leo ni majipu!Bado kidogo tutaandamana kwa bei za vitu kushushwa!Tenaa!Magufuli bana utatuchonganisha kweli!
 8. L

  Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

  #Chinamade. Maisha yamekuwa rahisi kwa maana ya upatikanaji wa bidhaa au huduma.Kwangu mimi nina mambo mawili ya kuzungumzia. 1.Uwepo wa pikipiki za China mfano SANLG n.k.umerahisisha mambo sana. Tukumbuke pikipiki enzi hizo ilikuwa kwa padre, afisa kilimo(w), afisa...
 9. L

  Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

  Mleta mada unahusika katika mauaji ?sababu inaonekana uchungu wako una kengeza.
 10. L

  Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

  Kwahiyo wazazi wako hawaelewi mabadiriko yalimaanisha nini...mbona wengine tukifiwa mimacho inawatoka...hivi mawazo kwenu ni mbuzi.TUTAFIKA TU.
 11. L

  Posho ya vikao ikifutwa, 2020 tutakuwa na wabunge halali bungeni

  Kwani enzi za mwalimu wabunge walilipwa posho za vikao?Wajuzi tupeni hii.Ingawa wengine wapo bungeni kulinda maslahi yao ya kibiashara na si kutamani posho,si huwa tunaona wabunge ambao hawabuni majibu ya changamoto yoyote bali husubiri matukio wajioneshe kidogo kama wapo na ni wabunge.
 12. L

  Polisi wapiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mawazo

  Atazikwa tu mbona kwa heshima zote,japo wamemuuwa kwa fedheha.
 13. L

  UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

  Shule ipi hiyo nami nimlete mwanangu wenda akawa mwana mabadiriko.
 14. L

  Tamko BAVICHA kuhusu mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita

  Na wazazi wako wana mawazo kama yako!
 15. L

  Kwa wafanyakazi tu, mje tujadiliane hapa

  Una akili sana!wenda ukapata division 5.
Top Bottom