Recent content by lukinga01

  1. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Mshana heshima yako mkuu. Mzee nahitaji msaada wako please!
  2. lukinga01

    JamiiForums Tanzania GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

    Hivi kwanini ndugai asijioganaizi na akina January Makamba na wengineo waunde vikundi vya ujasiliamali.? Wapewe mikopo walimage hata vinyungu?
  3. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Mijitu mingine haijulikani Inataka nini? Ccm baada ya kuminywa mbavu na CDM ya Mbowe wakawafanyia research watanzania na kugundua ni waoga. Hivyo wakaamua kutumia nguvu kwa kuteka, kuua na kufunga wapinzani wa aina yoyote. Wawe wa vyama pinzani au wasio na vyama. Mbowe na CDM yote kiujumla...
  4. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Tangu Kikwete alipopata Urais, CCM wakafungua geti la viwango duni katika siasa

    Na kama ni hamnazo kweli anafanyaje?
  5. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kuna watu humu comments zao wanaonekana wameathirika sana na mikafara ya Ccm.
  6. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Nimetokea kukupenda sana. Kujipatia elimu zaidi msikilize mtu anaitwa Aston Adam Mbaya wa Congo ana shuhuda nzuri sana.
  7. lukinga01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Dah! Mi nilijua labda mimi ndio nimesota ktk maisha kumbe tuko wengi. Tujipe pole.
  8. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana kanisani kwa mchungaji Kimaro Kijitonyama

    Tuacheni kumbeza huyu ndg kaifanyia makubwa sana CDM.
  9. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    No.
  10. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

    #Setfree njoo ujibie swali hili.
  11. lukinga01

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

    Kivipi anajipatia umaarufu kwa masrahi binafsi? Kwani wewe ulitaka aongeage nani? Au aongee vp iwe kwa masrahi ya umma?
  12. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

    Tetesi zilimhusisha na kifo cha nanihii. Hivyo hatuwezi kumuombea ili awe international killer.
  13. lukinga01

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa pili kamzidi kaka yake ujasiri, ujanja, uwajibikaji. Hii ni kawaida?

    Kama mkubwa la saba mdogo la Sita maana yake hawajapishana sana kuzaliwa. Huyo mkubwa amepunjwa haki nyingi. Weka upendo mwingi kwake.
Back
Top Bottom