Mimi huwa nasikitika sana kiongozi anaposema (Leo Karne ya 21. )Kuwa eti Ameleta Mendeleo kwa kujenga Barbara ya lami au kuleta umeme, Hivi ni vitu viliitwa Mendeleo miaka ya 50 na vilitakiwa viletwe kwenye miaka hiyo lakini Kirk Karne hii wenzetu vitu Kama hivi ni basic need na mtu havioni Kama...
kama ingekuwa umegundua kuwa mumeo ana mahusiano nje halafu akakataa ningekwambia kuwa hivyo ndivyo ndoa zilivyo
,maama wanaume wemye mahusiano nje ya ndoa ni wengi kuliko wasio na mahusiano
lakini huwa wanafanya siri tena siri kubwa
Nime download program inaitwa INVOICE BY CLICK
Hawa wenye program hii siwaelewi kabisa
wameweka software yao kwenye internet lakini ukijaribu kuwasiliana nao kwa
ajili ya wakuuzie hawajibu hata msg moja
software hii nimeipenda na imeshafiki muda wake wa ku expire ( 30 days trial )
Nimesikia...
Kiukweli waislamu munadhalilisha sana wakristu kinachosaidia wakristu daima wamekuwa waelewa, laiti wangeataka kujibizana kungekuwa na vurugu kubwa, na sio kusema uwezo hawana wanao na nguvu pia, tanzania ni yetu na tumetoka mbali sote ni ndugu mbona tumechanganyika katika mafamilia yetu? Mungu...
Aliyeropoka maneno hayo hana akili kaka ndio mashetani wenyewe wa dunia, huwezi kufuru dini ya mwenzako kiasi hicho ati wanao jidai wakristu tena shwaini huyo
Hakuna Pesa Rahisi Duniani HIi ni Formula ya Dunia nzima Kama unaendelea kuwasiliana na watu kama hawa nakushauri uache kabisa kuna Kipindi nilwahi kupata E mail kama hizi Jinu langu lilikuwa Fupi Tu ST uPID Kwa maadishi makubwa size 24 fonti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.