Recent content by Lukenya

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wakili Jonathan Mndeme, aliyesomeshwa na CHADEMA, aungana na Wasaliti

    Yote hii ni kazi ya KUB mstaafu. Kuna mkono wake hapa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Lissu ana Kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa Jamhuri uliotolewa (Agosti 21, 2026). Amtaja Rais Samia kuwa shahidi wake

    Washindwe kwa Jina la Yesu. Na kwa hukumu yoyote isiyo haki,ikawe pia hukumu yao mbele ya Mungu siku watakapo iaga dunia. Zikifuatia laana juu ya vizazi vyao
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

    Hii ni laana kwa nchi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Utulivu wa Akili, Mikakati na Mbinu bora za kisasa kuelekea Maridhiano, Muafaka wa Kitaifa na Mabadiliko ya Katiba

    Hii itakuwa ngumu! Alichokizungumza H. Polepole kuhusu maridhiano baada ya uchaguzi ndicho kimekaa vichwani mwa wananchi wengi. Na wanachukulia ilikuwa ni mpango kamili yatokee yaliyotokea Kwa lengo la kuja kufanya maridhiano. Hivyo wananchi tunasema ulikuwa ni mpango wa makusudi ulioleta...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

    Usidanganyike ndugu!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni mda serikali itoke na kutueleza Polepole yuko wapi?

    Na wengi tuna wasiwasi na ile AMRI ya IGP ya kutotoka usiku kwa ajili ya kazi maalumu. Lengo lilikuwa kukusanya hiyo miili na kwenda kuifukia Maana hakukuwa na maziko lengo likiwa watu wasione
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Unatudhalilisha sana jinsia ya Me
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe

    Hii mijitu sijui imelogwa!?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Ninaufunga biashara ya huyo mama kwa mamlaka ya Jina la Yesu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati maalumu wa kukiimarisha Chama cha Mapinduzi

    Ccm haistahili tena kuwepo kwenye uso wa dunia
  11. L

    JamiiForums Tanzania Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

    Na dhambi hii hautamuacha salama hadi anaingia motoni kuzimu. Amekuja kujiharibia uzeeni.
  12. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaalika Watu wote Duniani kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu 10/08/2026, yumo Martha Karua wa Kenya aliyewahi kuzuiwa na serikali ya Tanzania

    Mfululizo hadi tarehe 7 September. Hii tar si ndio pia alipigwa risasi 16 ktk jaribio la kutaka kumuua. Tuiombee sana hii tarehe.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nuru ya Rohoni.

    Mkubali mkatae! Kwenda mbinguni hamtatoboa bila Yesu.
Back
Top Bottom