Recent content by lukatony

  1. lukatony

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kihistoria Ukristo ulivyotumika kudumaza Harakati za Ukombozi wa Tanzania

    We jamaa achana na mambo ya dini!Unapoteza muda WA kufurahia maisha yako ya hapa duniani!
  2. lukatony

    JamiiForums Tanzania Nimechelewa sana kugundua kuwa mimi ni masikini

    Pambana dogo!Utafika unapopataka!
  3. lukatony

    JamiiForums Tanzania NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

    Subir haitafika ijumaa,Hela yako itakuwa kwenye akaunti
  4. lukatony

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Adam na Hawa walizikwa wapi, Je kuna ushahidi wowote?

    Vipi kuhusu Qur'an, yenyewe SI Hekaya?
  5. lukatony

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Duchu miaka 34,afu akabane na watu wa nje huko kwenye CAF champion league wenye miaka 23 halisi,akimuacha hampati,atacheza rafu tu!Afrika Kila kitu ni laana tu!
  6. lukatony

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    HUU NDO UKWELI HALISI,WATOTO NI MATOKEO YA NGONO
  7. lukatony

    JamiiForums Tanzania Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Pimeni,ukishindwa vaa kondomu!
  8. lukatony

    JamiiForums Tanzania Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Hello,pombe ni hatari ila ndo hivyo ipo na itaendelea kuwepo!Haiepukiki kamwe!Tumia Kwa Kwa tahadhari!Ni kama papuchi tu za sku hizi,Zina magonjwa,ila haziepukiki Tumia tu Kwa tahadhari
  9. lukatony

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelekeza Ahmed Ally kumtangaza Seleman Mwalimu anapaswa kujiuzulu mara moja pake Simba ni mhuni

    HAKIKA MKUU,UMENENA VYEMA SANA
  10. lukatony

    JamiiForums Tanzania Mseto huu Tukuka na hasa ukiutumia kama ndiyo Chai yako Asubuhi na Jioni ni zaidi ya Viagra, Futulu na Mivumbi yenu ya Kongo nani anabisha?

    Vimethibitishwa?Huo mchanganyo utakuletea high blood pressure,Kisha utakuwa mgonjwa high blood pressure,and diabetes mellitus 2,Kisha figo!
  11. lukatony

    JamiiForums Tanzania Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

    Acha kudanganya watu mkuu!Kwa hiyo inafufua organ iliyokufa?
  12. lukatony

    JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Wewe Mzee ni shida sana!Maskin unaangaika sana!Waislam na uhuru,Waislam na uhuru!Kwa hakika una shida kichwani ila nadhani ni Geriatrics diseases zinakusumbua!Pumzika achana na hayo mambo!Kuwa karibu na muumba wako achana na haya mambo Mzee!
  13. lukatony

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

    Wanachukua kutoka Zambia muda mrefu kama kagera kutoka Uganda
Back
Top Bottom