Yaani hapo mnajaribu kulazimisha njano kuwa nyekundu ..kumbuka kuna maneno SISI na YEYE..na ukae ukikumbuka pia yuleyule aliyesema SISI ndio aliyesema YEYE ..sasa anawezaje kuwa mtu mmoja ,kwa nini asiseme MIMI??
We jamaa soma hizi herufi kubwa vizuri
SISI tumekuteremshia kitabu hiki.....Kwa kumfanya Mola YEYE tu
Halafu unataka kuniambia kuhusu kuapa Mungu alikuwa anaapa kwa Mungu wa mashariki na magharibi..Daah hizi imani hizi
Ningekuwa sijaelewa nisingetuma humu,hiyo nimetuma kwa faida yako.
Na kama unaijua qurani vizuri niambie hii mistari miwili ina maana gani
Surat AZ-ZUMAR 39:2 Kwa yakini ,sisi tumekuteremshia kitabu hiki,Basi muabudu Mwenyezi Mungu kwa kumfanya mola yeye tu.
Surat AL MAARIJ (70) 40-41 Basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.