Recent content by luje

  1. L

    Kwa anae jua biashara hizi mbili biashara ya mkaa kuleta Dar na mbao kuleta Dar

    Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au biashara ya mkaa nijumue mkoa nilete Dar niuze taratibu. Naomba ushauri wenu mtaji wangu ni 15m, na...
  2. L

    Naombeni msaada kwa anayefanya biashara Comoro

    Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
  3. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Bei laki 5 msemaji wa mwisho mteja atae ridhia kuchukua kwa maelewano tutayo elewana
  4. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    BEI NI LAKI 5, MSEMAJI WA MWISHO MTEJA ATAE LIDHIA KUCHUKUA
  5. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Shamba lina eka 12 na lina hati miliki miti ni mikubwa ina miaka 6 kuna paina na mlingoti bei maelewano kama una itaji karibu ni chek PM chap mm ni mhusika na siyo dalali
  6. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Shamba lina eka 12 lime pandwa miti ya paina ambayo ina miaka 6, na mlingot upo eka 6 kwa anae itaji kila eka ni laki 5, maongezi yapo mimi ni mhusika ninae uza njoo PM tuzungumze,,, na hati miliki ipo ya eneo
  7. L

    Nauza viwanja, nyumba na kupangisha nyumba maeneo mbalimbali Dar es Salaam

    Vp kuhusu uaminifu wenu maana kuna kampn xta itaja nli nlipa uwanja huko goba njia nne mwsho wa siku waka sema viwanja vina badilishwa kufuatilia office zao zime hama na jina wame badili vp kwa upande wenu
  8. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Kwa kila ekari ni 130,000x111=14,430,000 maongezi yapo pia
  9. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Nauza hiyo bei kwa ofa na kwa mtu anaehitaji kuwekeza zilizopandwa nazo bei ni moja hiyo 130000, na ambazo hazija pandwa pia bei ni moja pia lkn atae chukua shamba lote ndyo atae faidi maana karibia robo ya shamba imepandwa karibu
  10. L

    Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

    Ni vinzri anunue lote maana limeshapewa na hati zinakaribia kutoka atae chukua apate hati moja kuepukana na usumbufu
Back
Top Bottom