Habari zenu wapendwa....je mmesikia kuwa kituo chetu ..Eternal international kuwa kinaendelea kutoa huduma ya check up ya mwili mzima kwa mashine za kisasa pamoja na madaktari bingwa kutoka nchini china watakuwepo..mashine inapima mwili wote yaani moyo,mfumo wa chakula,figo,mfumo wa uzazi kwa...