Recent content by Luggy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    kwa nn umuachie watoto?,sidhani kama ni wakubwa kiasi cha kuweza kujisamamia
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sifa alizopewa Nyerere zina mashaka, Maamuzi aliyojichukulia kuifuta Tanganyika kana kwamba ni mali yake yanatucost sana mpaka leo

    hilo la majimbo umewaza kitu poa sana...lkn utasikia wanasema haiwezekani kwa sababu ya gharama za uendeshaji,ila pesa za kuibia wananchi zipo.......kuna mambo Mwalimu yuko overrtaed sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    ila tukienda kwa ngazi ya kaya,Wakristo tuna nafuu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    tuombe Mungu aingilie kati ila yule macho kudondoka hana aibu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Wang’oa namba za magari, madereva waliogoma kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli

    Madereva wakaze,ila tatizo utasikia wametekwa,kwa kitendo cha kung`oa namba (sidhani kama sheria inaruhusu) ni wazi kuwa madereva wanakumbana na uonevu mwingi ambao tunakuwa hatuelewi.KAZENI WANETU TUKO PAMOJA
  6. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    upinzani ni spirit inayokaaa ndani ya mtu...think a little deep
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    na usikute wenzie wanamponeza kwamba kaja na boonge la idea....ila mbogamboga
  8. L

    JamiiForums Tanzania CCM Wakija na Hiki Kichwa Kwa GIA ya Kijana basi Wanabeba Kombe Kiulaini hiyo 2030 bila hata Porojo za Katiba Mpya

    wanajua vijana ndo kundi ambalo hawawapendi,hivyo wanaaza mapena kusukuma kete za kuwapanga...CCM ni CCM tu and will never change
  9. L

    JamiiForums Tanzania Asagwile Mwasongwe: Kama Wewe ni Nuru, Giza Linakuweza Vipi? Njoo Tupige Kolabo

    Chachu kidogo huchachua donge zima. (Wagalatia 5:9)
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    umeeleweka ,lkn kama wafanya mapinduzi ndo hao tumeambiwa ni mali ya mbogamboga wataweza kweli?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarship ni mkatati wa kusomesha kundi la upande ule kwa kutumia fedha za Tanganyika ili kuja kuongozwa nz wataalamu wa kundi upande ule

    Tanganyika imekataliwa na wa-Tanganyika...acha tuchezewe akili
Back
Top Bottom