Ukiingia kwenye account sio kwambaaa ndo una apply upya bali unahakiki data zako kama ni za kweli ama zilikosewa wakat wa kujaza mara ya kwanza cha muhim we angalia zile form za mikopo ulizotoa kopi kablaya kutuma bodi ya mikopo kama zina taarifa kamili ama ulidanganya wewe mwenyewe nadhan...
Mi naona watoto wa masikini wengi ni artist [emoji439] kwa sababu wanasoma SHULE za kata ambazo hata miundo mbinu mfano maabala ni mibovu hivo wakitoa priority kwa science badoo watoto wa masikini wanakandamizwa na wakikosa MKOPO watarudi kijijini NDOTOOOO zaoo zinafeli ni mtazamo wangu vipi wewe
Maisha yatakuaje vyuoni hasa mwaka wa Kwanzaa MAANA wanafunzi wengi tunatoka familia za wenye uwezo wa chini
Wazazi wetu walitegemea tumefaulu vizuri na lazima tupate MKOPO kumbe mh daaaaa
Wengi tunaacha vyuo coz ya pesa
Daaaaa pindi nipo school advance nilijituma kusoma ili nipate chuo cha government na chenye haz but TCU shikamooo mmekata NDOTOOOO za wadau amna namna
Haya nao Bodi ya mikopo nao wanataka kuvuruga kabisa coz hawatuambii nin kinaendelea
But never give up tumain lipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.