Tanesco Tanesco Tanesco !! Tafadhali nirudishieni fedha yangu , HAIWEZEKANI dunia ya sasa mkae na fedha zangu kwa miezi 4.
Nasikiliza matangazo yenu mkiwahimiza wateja wenu wenye madeni walipe madeni yao nami NILIPENI fedha zangu.
April 24, 2025 majira ya saa 05:28 nilinunua umeme kimakosa badala ya kununua umeme wa tsh 20,000/= nikanunua wa tsh 200,000/=
Tarehe hiyohiyo saa 05:49 nikafanya mawasiliano na Tanesco CC na kujulisha kadhia hiyo kwa qjili ya kurekebisha na kurejeshewa salio langu. Saa 05:55 Tanesco Mkanijibu...
Qhsante TANESCO leo, nimepata huduma ya Mita mpya baada ya ile ya zamani kuondolewa katika mfumo.
Nimew3kewa UNIT 10. naomba maelekezo maana kila nikijaribu kununua umeme kwa sasa HAUKUBALI.
Niko mkoani Morogoro nimemtuma mtu, amekwenda kutoa taarifa mara mbili na leo amekwenda tena. Wanapokea taarifa HAKUNA mrejesho.
Nb: waliwahi kupita pale na walimkuta binti yangu ambaye aliniunganisha nao wakanieleza wanataka kubadilisha hizo mita nikawapa ruhusa lkn waliondoka bila kubadilisha...
Kwanini MWANANCHI apewe tabu katika Taifa lake lililo na UWAZI NA UKWELI unaohubiriwa na viongozi wake?
Nini maana ya viongozi wa serikali ya mitaa ? Tunakwenda kufanya CHAGUZI kwa ajili ya nini?
Sheria hii IBADILISHWE iwe ya kwanza KUTAMBUA nguvu za viongozi wa mtaa!! AMBAO tunaishi nao...
Kuna tatizo nyumbani kwangu MBAGALA NZASA KWA MWARABU MTAA WA ATALANTA H/NO 10 .
MITA NO 24210335501 imegoma kununua umeme leo ni siku ya Pili.
Walipita mafundi wa Tanesco kiasi miezi miwili imepita na kuahidi kuibadilisha lkn hawakubadilisha NAOMBA msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.