Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.
Mswahili: Kaka vipi, shwari? Dah hatuonani mzee, vipi mishe, mnatunyima nini, juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, siye tupo bwana, shida tu, halafu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri...