Recent content by Lucky93

  1. Lucky93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

    Report binafsi ya raisi ambayo imetumia pesa za wananchi si angetumia pesa zake binafsi. Kama ni report ya raisi ilikua vyema wapeane kimya kimya bila kuleta taharuki.
  2. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Kwani mashekhee mnasimama upande gani?

    Wananchi wanataka haki, serikali inataka amani, mashehe hawaeleweki wanataka nini amani, haki, au wali.
  3. Lucky93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

    Kuna siku niliamua kujichunguza Kama nina mchepuko, nikagundua sina. Nikampa ripoti mke wangu kua sina mchepuko.
  4. Lucky93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

    Habari
  5. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Hizi hesabu brother K tu ndiye anaweza kubalance.
  6. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Radi ya mama
  7. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

    Hawa watu kupona hawawezi Ila tatizo tunajua lilipo.. "unlike the stomach the brain doesn't alert you when it's empty"
  8. Lucky93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

    Wavuta bangi na walevi mje mchukue pisi yenu huku
  9. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

    Mnaonaje hili jambo mlipeleke CAS
  10. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya wanafunzi, kupanga wa kwanza hadi wa mwisho UFUTWE unabakiza Taifa hili nyuma

    Wataangalia grade zao corresponding na requirements za chuo wataofikia vigezo watachukuliwa Ila hawatapangwa wa kwanza hadi wa mwisho, fikiria kama wanataka 20 na darasani Kuna wanafunzi 15 lakini ote hawajafikia grade zinazohitajika Ila Kuna wa kwanza hadi wa mwisho, unadhani watawachukua kwa...
  11. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya wanafunzi, kupanga wa kwanza hadi wa mwisho UFUTWE unabakiza Taifa hili nyuma

    Wanapata scholarship kwa kuangalia grades alizopata mwanafunzi kwenye masomo yake sio kwa kuangalia nani ni wa kwanza, mwanafunzi anaweza kua wa kwanza na ana average ya 50%. Niliwahi kugombezana na dada yangu alikua anamchapa mtoto kisa amekua wa 20 lakini ana wastani mzuri wa 88%.
  12. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya wanafunzi, kupanga wa kwanza hadi wa mwisho UFUTWE unabakiza Taifa hili nyuma

    Tatizo wengi hapa hawana exposure na mfumo wa elimu wa nje ya Tanzania. Kuwa rank wanafunzi hakuna faida yoyote kwa mwanafunzi wala mwalimu, wanafunzi wanatofautiana kuanzia background zao hadi uwezo wao wa kawaida wa darasani, ndio mana kwenye mifumo ya elimu ya kimataifa mwalimu ni lazima...
  13. Lucky93

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya wanafunzi, kupanga wa kwanza hadi wa mwisho UFUTWE unabakiza Taifa hili nyuma

    Nakuunga mkono hata international schools zilizopo hapa hapa nchini hazina huo utaratibu wa kupanga mtu wa kwanza hadi wa mwisho, matokeo yanatolewa kwa grade alizopata mwanafunzi husika.
Back
Top Bottom