Let me add some screenshots. We have 8 lane highways in Kenya but damn! still more traffic issues. kenyans should stop buying cars,we build roads. We don't have roads[emoji23][emoji23][emoji23]. Dumb!
Huyu ameandikwa kazi hapa jf kutetea Tz ndiposa atapinga lolote. If he doesn't win yeye hukatwa mshahara..usishangae hachangii popote pengine kwenye maswala muhimu yanayokumba nchi yake.
Unaona wewe, jinsi mnavyopata shida na matamshi katika maneno ya kingereza mfano "bio" ambayo wengi mnatamka as "biyo" ilhali Ni "bayo" ndivyo wakenya kadhaa wanatamka "thirty" as "thate" na hapo ndipo kingereza kilipo kupitia..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.