Recent content by LUCKY BANANA

  1. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

    Ndoa zimekua changamoto sana am single n happy alhamdulih na umri huu sitaki strees hata kidogo. Inshallah mwenyezi mungu anisimaie kwa hili
  2. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kula mgongo

    Kweli wanaofanya hivo wanamoyo sana. Anayefanya na anayefanyiwa wote hovo tu. Hii issue inafanya ndoa zingine zinavunjika sana kwaajili hii. Mwenyezi mungu atunusuru n hili balaa
  3. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Urembo sawa lkn wengine wanazidi jamani ahata uhalisia wa rangi ya binadamu inapotea Niliwahi kumuona mdada airport walahi hiyo foundation kama zege mpaka linatia kinyaa Mimi mashallah am blessed with nice skin only i need ni powder an lighy lips shine nothing else na nyusi zangu natengeeza my...
  4. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Akinijibu nini Ya mi ke
  5. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Sio mweupe sio mweusi
  6. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Mmh vipi unaniambia mimi au sijakuelewa Halafu mi sio mwanaume unaniita mzee umri au gender
  7. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Sijakuelewa unamaana gani
  8. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku izi wanajipamba sana lakini tabia zao ni chafu sana

    Nyie ndo mnavutiwa na mapambo yao ndo maana yako hivo Wanaume sku hizi ukiwa natural hata haungaliwi Mpaka ujichubue na makalio y bandia kila kitu fake
  9. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Jamani ni 42 nitapata mzee mwenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    naona we ni mchungaji mi muislam wangu
  11. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    naona we ni mchungaji mi muislam wangu
  12. LUCKY BANANA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    lah mi nitapata mzee mwenzagu humu nina 40yrs jinsia ke
Back
Top Bottom