Recent content by Lucky A

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Elimu ni kidato cha 6,alikuwa akifanya bachelor nchi jiran ila kunamatatizo yamejitokeza akashindwa kuafford expences,ndo kwanza alikuwa anamalizia mwaka wa kwanza.Anatafuta kazi itayomuwezesha kukusanya pesa ya kujiendeleza,ni mtaalaam wa compyuter na anaweza ongea both American na British...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaidieni huyu plizzz

    Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka kulea mimba yk akiwa ndani ya ndoa,kwan mwanaume anasema hawawez kuoana now, na huyo dada yupo chuo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania msaada

    ukijisajiri Tcu mpaka uwe na credit 3,ninajamaa yangu nae kafauru vzuri sana Alevel uganda,ila form four alikuwa na credit pass 2 tu vipindi vingine D,wakati wa usajiri last year TCU walisema mpaka awe na Credit 3 o'level
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz!

    Education au information technology
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz!

    Education au Information technology
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz!

    Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha 6 nchini uganda,baada ya kuequite matokeo yake baraza la mitihani equivalent kwa Advanced certificate ya Tanzania ana division two point 11,tatizo matokeo yake ya kidato cha nne ana division four,principle pass 2,vipindi vingine ni D,je anaweza kujiunga...
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    R.i.p bi kidude
Back
Top Bottom