Ahahahah we umetisha... Ila mi naimani wazazi wa zamani walikuwa werevu sana kwa maana asingekutishia hivyo hilo ua lisingestawi hata kidogo yangevunwa na kuchezewa na watoto mi nampa pongezi mama yako inaonesha ulikuwa mtundu mnoooooo
Yani kwa wewe Asante sana ila kama utapata nafasi ya kutuelimisha kwa mmea mmoja mmoja itakuwa na tija kwa jamii ya watu wanaopenda kuendezesha nyumba zao kwa maua
Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.