Wasiolifahamu ua yasmini ndio hii hapa ni miongoni mwa maua mazuri kati ya maua yenye harufu nzuri ya kuvutia kwa watumiaji wake

Mar 12, 2021
9
15
20210312_085648.jpg
 
Tuliambiwaga tusiliyakaribie saa 12jioni eti majini huwa ndo muda wao kuja kujipumzisha..
Ahahahah we umetisha... Ila mi naimani wazazi wa zamani walikuwa werevu sana kwa maana asingekutishia hivyo hilo ua lisingestawi hata kidogo yangevunwa na kuchezewa na watoto mi nampa pongezi mama yako inaonesha ulikuwa mtundu mnoooooo
 
Back
Top Bottom