Recent content by Luckme

  1. Luckme

    Tumieni fursa mnapokutana nazo hasa wakati huu wa baridi

    Usiku huu kuna baridi kweli pande zetu hizi nyanda za juu Kusini kiwinter kimekolea hatari.... Sasa mtoto wa watu tumafua twa hapa na pale tumenishika sasa rafiki yangu Mkerewe kaja kuniona magetoni (male) Stori mbili tatu mara anaanza kujizungusha umundani mara ashike simu aiache...me apo...
  2. Luckme

    Amini usiamini, hizi hapa chapati za shilingi 1.1 b

    Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona am better here
  3. Luckme

    Biashara yangu ya Bundi imenidodea

    Hahahahah am better here
  4. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Mkuu nkutakie majukumu mema maana hatuelewani asante... am better here
  5. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Mkuu me nimekutana nae kasha achana na mkewe.... am better here
  6. Luckme

    Kimeo

    Hahahahaha mdogoangu kakazako ao wananikojolea kitandani mm.... am better here
  7. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Asante mkuu nikweli kabsa apa anapumzika majeshi yakiludi naachwa kweupeee am better here
  8. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Mwenzangu mwanamke kaondoka December mwaka Jana io ni sawa na likizo. Tu am better here
  9. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Si ndo apo sasa cjui mwenzangu nn kilicho mkimbiza ... am better here
  10. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Ndugu nisome vizuri watt wala sina tatzo nao me nna shida na uyu Mwanaume wasiwasi wangu nikuludisha majeshi kwa familia yake arafu Mimi nkaachwa kwenye mataa uo ndo msala ulipo...cna amani na haya mahusiano kwasababu mawasiliano ya mkewe bado yapo wanawasiliana vizuri tu na kingine ni hawaja...
  11. Luckme

    Ushauri: Nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye watoto wawili. Nahisi napoteza muda wangu

    Tuna miezi mitatu tu mkuu maana nimekutana nae January.... am better here
Back
Top Bottom