napenda kuwapongeza kwa kazi ya kuelimisha umma
naomba kufahamishwa namna ya kusolve tatizo la sd card demaged maana 8gb yang haisomi kwenye smu naambiwa niireformat ila nkijaribu haikubali kufomatika asanten
natanguliza shukuran zangu za dhati kwenu kwani hii ni.sehemu.pekee nayowezaa kuongea kuthubutu kuongea kwa ujasir
hoja:naomba kufahamishwa ni njia gani ni rahisi kutuma pesa brasil kwani kuna ndugu yang uko nataka aninunulie sd card maana yang imekuwa DEMEGED sasa kaniambia 16 GB ni shilling...
asanten wakuu ila sasa na mimi naona HGE ni nzuri na nitaimudu lakin mzazi kaniambia ni mwambie ni kwa nini nasoma hiyo comb na ntachukua fact gani chuo kikuu na kuhusu ajira na sehemu pekee nayoweza kupata ni hapa jukwaani naomba kusaidiwa wakuuuu
habari
ndg
naomba kupewa msaada apa wakuu naitaji kwenda kusoma form v nimepata Hst c geo d math c engl b kiswahil b civics c biology d nilikua nadhani kuwa HGE iko sawa ila nikaona niwasilishe kwa wadau kwanza mnipe mawazo na nini cha kufanya hasa tukiangalia swala la ajira na fact za chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.