Recent content by luci

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada sijui viungo vya pilau

    Thanx mamito.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    Ana stress za kutoendelea na masomo muache atulie kwanza ukae kimya kama mwaka hivi kisha umtafute na umueleze kuhusu lengo lako kwake. Kama atakua bado not occupied.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Alimdanganya hana mke akamzalisha na kumwacha

    Mpe pole ila asimpeleke mtoto kwa mme. Ajitahidi amlee mwenyewe. Pia aendelee kutafuta kazi yenye maslahi zaidi ya hiyo. La mwisho awashirikishe ndugu na rafiki zake wa karibu anaweza pata chochote.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je hili linasababishwa na nini?

    Hutoi matumizi mpaka akuombe. Na mimi nina mpnz mbahili hata mahitaji ya ndani nataka nimbwage.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada sijui viungo vya pilau

    Habari wana jf, Kama mnavyojua kesho sikukuu nataka nipike pilau. Nimenunua viungo ila sivijui vizuri. Pia naomba kujua kama pilau masala ya Zanzibar ni nzuri kwa pilau.
  6. L

    JamiiForums Tanzania MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Pole sana mungu akuponye.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Kumbe ni saccos na sio chama asante kwa kutujulisha.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Cdm acheni kulialia njaa. Mbona CCM hakuna hiyo michango ya kijingakijinga. I hate cdm forever and for always.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Cdm chama la wachaga. Wajinga ndio waliwao.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Eti Kisukuma kina wazungumzaji wengi kuliko Kiswahili

    Hapo hujakosea ukiongea kisukuma unaweza pata hata maji ya kunywa kama unaongea kiswahili imekula kwako.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kushika mimba ni ipi?

    28 ma boy 27 huwa inabadilika siku moja.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kushika mimba ni ipi?

    Nashukuru kwa michango yenu. Naifanyia kazi.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kushika mimba ni ipi?

    Nitashukuru.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kushika mimba ni ipi?

    Ahsante
  15. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kushika mimba ni ipi?

    Nina mzunguko wa siku 31
Back
Top Bottom