Recent content by luchunga2002

  1. luchunga2002

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Video zako hizo wewe zipo wapi?? Hizo propaganda 2
  2. luchunga2002

    Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Kalipiwa na CCM UKAWA
  3. luchunga2002

    Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Makomredi wenzake wa CCM wanaotaka Real changes
  4. luchunga2002

    Matukio makubwa mawili yaliyotokea leo Oktoba 4, 2015 yanatufunza nini?

    Hiyo ni theory yako tu waachie polisi na Madaktari wafanye kazi yao
  5. luchunga2002

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Kifo ni kifo tu na sababu Huwa hazikosekani so tuache kubuni sababu ya kwetu bali waachiwe wahusika polisi na Madaktari
  6. luchunga2002

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Uwe wazi una mana gani bila kukanyagana?
  7. luchunga2002

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Wape ushirikiano wako polisi basi
  8. luchunga2002

    Star TV mjutie na mjifunze

    Tunaangalia sifa za kiongozi si alikotoka au rangi yake watu tuache ushabiki na propaganda
  9. luchunga2002

    Star TV mjutie na mjifunze

    Hakuna udini ukanda ukabila wala undugu hapo watu wanaendekeza njaa tu kutukana wengine waache kabisa
  10. luchunga2002

    Zijue mbinu za kujihami za mwenza wako

    Powah kwa ujumbe mzuri
  11. luchunga2002

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    jibu hoja kwa ushahidi stop being emotional
  12. luchunga2002

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    usijibu hoja kwa hisia tu jibu hoja usichanganye chuki binafsi ujibupo hoja
  13. luchunga2002

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    TPDC haimiliki vitalu bwana usitupotoshe
Back
Top Bottom