Recent content by LUCHESI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Samia alitamka hadharani kwamba wasaidizi wake wa diplomasia wakimwambia Mkuu pale ulipaswa kusema hivi na vile yeye anawajibu HAYO MAMBO YA DIPLOMASIA NI YA KWENU NYINYI. MIMI NABWATUKA TUUU! Kama hujafuatilia hizo kauli zake basi fuatilia ili ukija kujifanya geopolitical commentator...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Drivers Licence ya Tanzania haikubaliki na polisi Zanzibar! Uzanzibari na Utanganyika upo ndio! Sio harufu. Ni uhalisia. Hivi kwa nn sisi Watanganyika ni wapumbavu kiasi hiki kwenye kutetea maslahi yetuuuu??
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Toka amefika amekuwa akiongea Kiingereza. Siku ya tatu ndo akazinduka kwamba Kiingereza mahala ambapo hakuna Mwingereza ni ulimbukeni. Imemchukua siku tatu. Ni mzito.
  4. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

    Makumbele acha uchawa! Kitu kimetoka Ulaya moja kwa moja hatuwezi kupewa UFAFANUZI WA SERIKALI Hata serikali yenyewe haijasema huu ni ufafanuzi. Imesema ni TAARIFA. Juma hawezi kutoa UFAFANUZI kwenye hadithi ya Hamisi. Sio kila kinachosemwa na serikali ni UFAFANUZI. . Tusitumie lugha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

    Mwaka jana spending cap kwa mgombea Urais ilikuwa bil 2. Sheria ya Kikwete, mwaka 2010, CAP 278. CCM wakaitisha fund raising event yenye malengo ya kukusanya bilioni 100. Siku moja kabla ya fund raiser waandishi wakamuuliza Katibu Mkuu Nchimbi, hapo vipi, imekaaje kisheria hiyo ...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

    Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali. Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja. Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu. Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

    Wao wanadhani yamepita, yamekwisha Wamerudi kabisa katika maisha yao ya kawaida Hawajui tumeyabeba kifuani
  8. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kuua wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 ni kazi ya kutukuka, Tume mlizounda ni za nini?

    hapo ndo tunakosea nadhani. Hizi sio tume za KUJICHUNGUZA Hizi tume ni za KUCHUNGUZA MATUKIO YA UANDAMANAJI, the acts of demonstrators and rioters. Sio muitikio, sio the reaction of, vyombo vya serikali na washiriki wao ( wale wazanzibati binafsi walopewa bunduki siku zile tatu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

    Huoni tatizo ? Kizazi kinachojiona ni special katikati yenu kitakuja kuwachinja. Wataishi wakijitenga, kutafuta maslahi yao na kukusanya nguvu za kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Siku mkishtuka mkawapinga wanakuja kuwachinja. Kwa nn Polepole ameuliwa ? Na ameuliwa baada ya kumsema vibaya nani...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na ukimya wa viongozi wa kijamii: Je, Tanzania inaingizwa kwenye mtego wa machafuko ya kisasa? Kina Pasco Mayalla wako wapi?

    What a nut job. Watu wameuliwa kwa maelfu na maelfu, unasema hakuna vita ya mizinga bali vita ya kidigitali na kihisia na kimtandao. You need a frontal lobe bypass.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM yakana Polisi kuingilia Siasa na wao kupewa upendeleo na Polisi

    Hilo linawezekana. Lakini pia si ajabu ubongo hakuwa nao tangia hapo. Si ndo huyu alitimuliwa na Baki Moon ? Samia alishamhoji, akamjua - kwamba ni mtupu - kabla ya kumpa hicho cheo amtumie. Lakini la tatu hawa watu they are senile, mental decline due to age, wameshazeeka, ubongo nao...
  12. L

    JamiiForums Tanzania "Who are you" itamgharimu sana Rais Samia kidiplomasia

    Labda hili lilikupita. Hulijui. Mwezi mmoja uliopita takriban, Samia aliongea Ikulu kwa mdomo wake akasema, diplomatic deputies wakimwambia hapo hupaswi kuongea hivyo anawa blow off, anawaambia "hayo ya diplomasia ni ya kwenu nyinyi, mimi nabwatuka tu." Sasa kwa nini useme washauli...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Aisee ndio huyu alikulaga dada wa kazi mpaka wakazaa? Umemsikia kwenye interview anasema hata wasaidizi wa ndani ukiwachekea watakuzoea sana. Nikajua ni zee moja lina integrity na seriousness kali, kumbe linacheza nao mpaka linavuana nao nguo na halivai condom, mpaka linazaa nao Jitu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania The US bill mandates an assessment of Tanzania's military, economic and political cooperation with China

    Ted Cruz hawezi kuwa Myahudi na jina la Ki-Spanish wewe big dummy! Babaake ni M-Cuba! Alikuwa pastor. Huo muswada ukifika kwa Trump na msukumo wa Ted Cruz unasainiwa fasta tu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aichana CHADEMA kwa kufanya burudani za Bongo Fleva na kuchinja ng'ombe wakati tuna majonzi

    Unafiwa na wazazi na bado unacheka maishani. Unacheka na aliyemuua mama yako ??? Use your noodles.
Back
Top Bottom