Recent content by Luccy Godwin

  1. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwalimu wa secondary aje Nachingwea niende mkoa wowote wa kaskazini au mikoa ya kati
  2. L

    JamiiForums Tanzania wanajamvi eh! na hii

    wadau nina shahada ya ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU YA JAMII naombeni msaada wenu nimezunguka sana kutafuta kazi bila mafanikio plz nipeni mwelekeo maisha magumu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

    vp Nachingwea Panakufaa kama vp tuwasiliane
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

    vp Nachingwea panakufaa?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwanajf usikose kusoma hapa

    Asante kwa ushauri wako mzuri, vp na huduma za umeme, maji na barabara?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

    hao madogo wa Udom wanajuta TCU kuwapeleka huko Dodoma wanayoyaandika ni namna tu ya kupunguza machungu vp boom mmepewa kweli msije mkawa mna njaa ndio maana blablaa nyingi!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maofisa hawa waliochakachua ajira za walimu wawajibishwe

    tunataka haki yetu tunaka haki zetu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs

    Mwambie huyo akumbuke DUNIA ni duara
  9. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs na MASHIRIKA BINAFSI

    Nipo kahama shinyanga
  10. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs na MASHIRIKA BINAFSI

    mkopo niliosomea degree bado sijalipa hela ya kuendelea kusoma nitapata wapi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs na MASHIRIKA BINAFSI

    wangenipangia shule za kata ningeenda lakini nimeomba ajira wakanichinjia baharini
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mafundi magari kwa haraka (magari makubwa na madogo)

    Me nina uzoefu wa miaka mitano lakini sina cheti
  13. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs na MASHIRIKA BINAFSI

    hawajatuajiri tumefuatilia wanasema hatustaili kufundisha secondari
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    Watanzania tumekusikia kama yupo anayekuhitaji atakupigia bt usikate tamaa endelea kujaribu shule za private na mashirika binafsi hope utapata
  15. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs

    Asante kwa kunisaidia ndugu yangu jamaa hasomeki uwezo wake wa kufikiri umeishia kwenye the thn he posses btn his legs not otherwise
Back
Top Bottom