Luccy Godwin
Member
- Feb 15, 2013
- 20
- 0
Nina shahada ya ADULT AND COMMUNITY EDUCATION chuo kikuu cha Dar es salaam wanaohitaji wafanyakazi, contact: Email Luccy_8@hotmail.com
hawajatuajiri tumefuatilia wanasema hatustaili kufundisha secondariwewe c ni mwalimu,hujapangiwa kituo cha kazi?
kapige PGDE POST GRADUATE DIP YA EDUCATION AU PIGA MASTER YA ED KWANZA.
utamlipia ada?
wangenipangia shule za kata ningeenda lakini nimeomba ajira wakanichinjia bahariniIngekuwa vizuri kama ungejitolea kwenda kufundisha shule za kata.
mkopo niliosomea degree bado sijalipa hela ya kuendelea kusoma nitapata wapi?Sina hata mimi natafuta Ada
hawajatuajiri tumefuatilia wanasema hatustaili kufundisha secondari
hawajatuajiri tumefuatilia wanasema hatustaili kufundisha secondari
Nipo kahama shinyangaUPO MKOA gani nikuelekeze cha kufanya.si lazima UAJIRIWE SERIKALINI.