Recent content by lucasdaud

  1. lucasdaud

    Onyo kwa wahitimu wanaotarajia kuomba kujiunga na kozi ya diploma ya famasi

    Duh!! Sasa itakuaje maana ninadogo nataka nimpeleke akaosomee iyo pharmacy
  2. lucasdaud

    Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

    Duh!! Afadhari umenisanua maana kuna dogo nataka nimpeleke maana amepangiwa kozi ya BUSINESS ADMINISTRATION nataka nimuamishe kwenye pharmacy
  3. lucasdaud

    Naomba ushauri: Kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana?

    Ulienda wapi ndugu maana kuna dogo hapa amepangiwa business administration sasa sielewi ni mbadilishe au nimuache huko huko??
  4. lucasdaud

    Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Jamani kuna mdogo angu amepangiwa hii kozi ya business administration vp nimpeleke au nimbadilishe nimpeleke pharmacy naombeni ushauri wenu
  5. lucasdaud

    Kufanya biashara kunafikirisha sana hasa ukiwa na mtaji mdogo unahitaji uwe na back-up usogee

    Yaani kwenye maisha ya biashara hakuna kitu muhimu kama uaminifu ukiukosa huo basi biashara huiwezi
  6. lucasdaud

    Ushauri kuhusu biashara ya nazi kwa gunia

    tupe muongozo mkuu ulikuwa wapeleka kwa bus au??
  7. lucasdaud

    Utajiri ndani ya kilimo cha nanasi Kiwangwa

    Vipi Tanga inafaa kulima nanasi
  8. lucasdaud

    Kununua guta (Toyo au Wanhoo)

    vp ulifanikiwa kununua ndugu
  9. lucasdaud

    Series (Special thread)

    jamani naombeni msaada mtu wakuchangia nae Netflix
  10. lucasdaud

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    tanga mpo sehemu gani kaka
  11. lucasdaud

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    nahitaji mahindi kichele ya kusaga unga jaman
  12. lucasdaud

    INAUZWA Used Samsung Smart Tv inch 40

    vp bado ipo iyo tv??
  13. lucasdaud

    Natafuta smart TV TCL inch 55

    nahitaji kununua tv bt nackia kuna aina ya tv inaitwa pmc wajuzi naombeni ushaur wenu
  14. lucasdaud

    TV4Sale Samsung qled smart 4k tv onch 65 curved

    jaman najichanga changa nataka kununua tv sasa nimeenda dukan muuzaj ananiambia kuwa kuna aina ya tv yaitwa pmc sasa sijajua ipoje jaman muuzaji mwenyew anaisifia sana
Back
Top Bottom