Recent content by lucaschinganga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jokate anatembelea bandari ya Tanga kama nani?

    Alikuwa Kaimu Mkuu wa Mkoa,kabla ya kuandika tufanye kwanza tafiti
  2. L

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Nivema ungeiuliza mahakama kama kwenye vifungu vya adhabu kifungu hicho kipo?naamini mahaka ina hakika na hukumu,mshauri Musiba akate rufaa kwa muda mchache ulio baki MEMBE IS RIGHT FULLSTOPPPPP
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata mwenyekiti mpya CHADEMA unahitajika

    Wakati Mbowe amewekwa lupango ulienda hata kumwona? Acheni siasa za maji taka
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Mbona unajichanganya ktk maelezo yako?hapo kinachogomba ni mikataba/mkata ulioingiwa pande zote mbili,kwa maana nyingine invoice/madai yalikuwa ni makubwa tofauti kubwa sana na mkataba
  5. L

    JamiiForums Tanzania Januari 5, 2011, ni siku aliyekuwa mchumba wa Dtk. Slaa alipokipigania CHADEMA kwa maumivu makali

    Kwa umri wa dr Slaa sio wakufanya siasa kwa sasa la bda ushauri
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Hoja ya dr koboko ni ya msingi sana,ina hitaji wanataaluma kuja hapa na maoni
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Tuna la kujifunza kutoka kwa dr 1.Anayo yasema ni uongo au sikweli? 2.Majukumu ya mfamasia ni yapi?hapa nauliza kwa ngazi ya hospitali 3.Huu utatu wa daktari,mfamasia na muuguzi unassembled kuhusu sheria ya usimamizi wa dawa na sumu?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Prop yupo sahihi kwa walofanya kazi hospitali kazi nyingi za utoaji dawa zinafanywa na manesi baada ya kukotoa mahitaji yalioagizwa na madaktari,na kwenda kuchukua famasi au stoo waliko wafamasia na manesi wanao tunza stoo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, Tumbi Hospital adaiwa kulazimisha watumishi kuchanjwa kinyume na hiari yao

    Tatizo hili ni global,watumishi wa afya wapo kwenye risk kubwa ya kupata UVIKO 19,hivyo kuchanjwa ni muhimu sana,huyo kiongozi anawataka watumishi kuchanja anastahili pongezi badala ya majungu,UVIKO 19 ni jirani yetu anaetutesa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, Tumbi Hospital adaiwa kulazimisha watumishi kuchanjwa kinyume na hiari yao

    Hakuna mtumishi wa afya mwenye akili hovyo kama yako,usichezee taaluma
  11. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

    DPP NA WAZIRI MKUU NI WATEULE WA RAIS,WEWE MWINGINE NANI?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Habari za kufikirisha
  13. L

    JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    Unakenua mdomo wakati huna mtoto anaesoma ktk moja ya shule za mkoa wa dodoma,ulizia mafanikio aliyoyapata ktk mkoa alikotoka,hizo sera na makatazo yapo siku nyingi wilaya zote zinatumia makambi na wamefaulu sana,mwisho unatakiwa ujifunze jambo kabla ya kuandika
Back
Top Bottom