Recent content by Lucas philipo

  1. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Mwendo ni No Reforms,No election. Ukiamka ni Mungu kwanza then ,No Reformz no election, ukimaliza kuchinja na kunywa supu ni Ni no reforms no election. Yaaani ukiwa baaa ni mwendo wa no reforms no election.
  2. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    Tena tena anamsifia eti ni muungwana na ni mtu mwenye high profile. Sijui zinamtosha kweli.
  3. Lucas philipo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Pole sana. Kwanza tambua siyo wewe tu na wala hujawa wa kwanza wala hutakuwa wa mwisho.Kuna binti mmoja yeye hadi walipanga harusi ghafla bwana wake akabadilika na walianza kuchangisha michango. Lakini aliamua ku move on. Wakati mwingine inapaswa kusali maana maadui nao hupitia humo humo...
  4. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Inasemekana afande pia ashafariki.
  5. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania BoT, TCRA ifanye auditing kwenye mikopo ya Mpesa, Tigo na Airtel . A case of MGODI

    What an equivalent response 😂
  6. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baba Nyerere hakutunganisha na Rwanda na Burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

    Uzi mzuri mkuu sema kuna makosa mengi sana ya kimaandishi .
  7. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Can you prove these allegations? Tusaidie ututajie hao watu unaodai Magufuli aliwafilisi. Pia tupe uthibiitisho wa kitafiti juu ya madai kwamba baada ya mdogo wake na Rostam kuachiliwa money circulation iliongezeka nchini following the inauguration of Taifa gas
  8. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Kuna vitu vingine tunahoji ambavyo havina mantiki. Nonsense. Kwa maelezo ya CDF , hali ya afya ya Magufuli ilikuwa imebadilika. Ni kawaida kwa mwanadamu anapokabiliana na kifo kutanga tanga na kutafuta ahueni na namna ya kukimbia kifo. Binafsi sioni makosa ya mtu kama yule kwa hali ya afya yake...
  9. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    Hujitambui wewe. Rais ambaye tatizo la umeme lilikwisha, watu wakavuta nguzo za umeme kwa 27000/= , Rais aliyewashughulikia ipasavyo mafisadi, Rais aliyewabana watumishi wakawajibika, Rais aliyejenga miundombinu mikubwa ya barabara, madaraja na bwawa la umeme, Rais aliyekuwa anafanya kazi usiku...
  10. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Unasikilizaje shida mpya wakati hujatatua ambazo zipo tayari mezani kwako?

    Aise! Naheshimu maoni yako lakini tambua tatizo la umeme lilikoma kipindi cha Jiwe. Licha ya madhaifu aliyokuwa nayo, suala la umeme aliliweza bhana. Sasahv maneno tu sijui mitambo imeharibika sasa umeme ulikuwa unawakaje kipindi hicho?
  11. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Mkuu tatizo Mh Rais amezingukwa na watu wasiomsaidia chochote kwa maslahi ya umma. Wako pale kwa maslahi yao ndiyo maana wana hakikisha maslahi yao kwanza yatatimia. Tatizo kubwa jingine ni hao watu kukumbatiwa na kuachwa wafanye wayafanyayo! Akaunti tu ya Ikulu pale Instagram ukisoma comments...
  12. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Mtu wa hovyo kuwahi kutokea katika karne hii. Hivi kwanini mtu unaamua kujidhalilisha namna ile???? Hivi unafaidika nini kuongea na kuandika ushubwada huu? Nchi haina sukari, umeme hakuna, maji hakuna miundombinu ya barabara ndo usiseme huku changamoto za afya ndo usiseme mara Serikali inaleta...
  13. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    2. Baada ya udakari, fani ya sheria inafuata kwa umuhimu wake kwa jamii Mkuu kwamba hizo fani ndiyo za muhimu kuliko fani yoyote Duniani???? Kwahiyo UALIMU si lolote??? Fani ya ualimu ni mama na baba wa fani zote. Hizo nyingine ndizo hufuata. Hii ni kwa maoni yangu.
  14. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Najiskia vibaya sana nikiona maandiko yako wa jina. Najikuta mwenye aibu sana nikiona jina la kitume linaandika habari za kichawa. Rekebika. Nchi haina maji wala umeme, sukari ndo kabisa halafu ww unahangaika kusifia watu walioshindwa kutatua kero hizo? Huenda una shida kubwa tumboni mwako lkn...
  15. Lucas philipo

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Hao unaowaita wataalamu ndiyo watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Kama ndiyo hao wanao engineer safari za nje basi kama taifa tunapigwa sana. Niliwah kusikia kipindi cha Jiwe kuwa kuna watu walikuwa wanamuandalia ziara ili nyuma wapige deal zao. Na walikuwa wanafurah akiwa ziaran huko kwan...
Back
Top Bottom